Recent content by Sinda69

  1. Sinda69

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Walioikamata bombadia wasiikubali malipo nusu, pia wanaoidai Tanzania waisake Dreamliner kokote iliko

    Akili ya UKAWA topeeeee Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Sinda69

    JamiiForums Tanzania Spacio new model/ IST natafuta kununua

    Masharti ya gari hiyobiwe 1.Namba C au D 2.Isizidi Cc 1350 3.imetembea km chache chini ya laki mbili 4.Haijawahi kugongwa wala kupakwa rangi 5.Transfer fee na law procejures tunachangia 6.Natoa offer ya million 5 ipo hata leo.... 7.Kama sharti moja au mawili yapo tofauti nijulishe...
  3. Sinda69

    JamiiForums Tanzania Nahitaji SPACIO New Model

    sinda21169@gmail.com Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Sinda69

    JamiiForums Tanzania Nahitaji SPACIO New Model

    Natafuta nina 7m Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Sinda69

    JamiiForums Tanzania UKAWA kusifia uchaguzi wa Kenya ni kutojua ulivyofanyika

    Kama uchanguzi wa Tanzania ukijafanywa kama ule wa Kenya ulivyoendeshwa, UKAWA watakuja lia sana. Na ushindi wa JUBILEE kwa mbinu hizohizo zilizotumika, zitatumika kuiwezesha CCM kuendelea kubaki madarakani. Hii ni faida kubwa kwa CCM na ni hasara kwa UKAWA wanaoshabikia pasipotafakari ya kina...
  6. Sinda69

    JamiiForums Tanzania Mine site ya Acacia kuhusu makinikia ilikuwa ni advantage tosha kwa serikali

    Wewe uko upande wa Mzungu? Na unajuaje kama hawakujiandaa au wewe tu ndo tu unaijua hiyo site? Tulia subiri. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Sinda69

    JamiiForums Tanzania Diwani Bananga wa Sombetini Arusha: Kwanini CHADEMA wanamuunga Uhuru Kenyatta

    Tofautisha urafiki na kuunga mkono Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Sinda69

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa The Citizen kuhusu majadiliano ya Acacia

    Now we hsve a serious and commited president I am sure the discussion will be more fruitfull than ever just hope for that. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Sinda69

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kauli ya Sumaye; "sirudi CCM", nani alimfukuza nani anamkaribisha..?

    Roho inamsuta na heshima aliokuwa akipewa hamna sasa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Sinda69

    JamiiForums Tanzania Commentary kuhusu kauli ya Tundu Lissu kwa ushindi wa Kenyatta

    KANU ndicho chama kongwe na ni supporter wa JUBILEE, Uhuru ni kijana wa Kenyatta Rais wa kwanza wa Kenya na kumbuka Kiongozi wa KANU ni kijana wa Moi aliyekuwa rais wa pili wa Kenya. UKAWA kuisupport KANU ni sawa na kukubali vyama kongwe kuendelea kurithishana state house, kwa hiyo nawaomba...
  11. Sinda69

    JamiiForums Tanzania Commentary kuhusu kauli ya Tundu Lissu kwa ushindi wa Kenyatta

    Una uhakika Jubilee ina demoklasia? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Sinda69

    JamiiForums Tanzania Commentary kuhusu kauli ya Tundu Lissu kwa ushindi wa Kenyatta

    UKAWA hawajitambui maana hapa wameunga mkono vyama tawala(kongwe) kuendelea kuhodhi madarakani. Basi waendelee kupiga debe maana CCM nayo itskuwa ngumu kuitoa madarakani. Wangeunga mkono wapinzani lakini kwa kutapatapa kwso wameunga mkono chama tawala. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Sinda69

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Odinga going to win the election in Kenya

    UKAWA mmeanza ya kwenu yamewashinda sasa mnahamia nchi za watu. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Sinda69

    JamiiForums Tanzania Ufichaji wa wajumbe kwenye mazungumzo na Barrick upande wa Tanzania kuna manufaa yoyote?

    Ulitaka uwemo? Kuna ndugu yako alituma application? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Sinda69

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu Kufunguka ya moyoni tarehe 01/08/2017

    Yani CHADEMA uelewa wenu yani mnavyomshabikia kama vile ni mwana siasa mashuhuri sana. Kweli chama kikikosa sera ni shida. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom