Recent content by Sinclair

  1. Sinclair

    Nataka kuhamia continental decoder, watumiaji wake niambieni ubora

    Duh bora huko uliko maana continental decoder sio kabisa
  2. Sinclair

    Harry Kitilya, Sioi Sumari na Shose Sinare wafikishwa mahakamani

    Bashir Awake anatakiwa awemo kama taarifa za awali zilivyosema mwanzoni wakati Serious Frauds Office ya Uingereza ilivyosema, ila nakumbuka alifukuzwa nchini kwa kuwa mhamiaji haramu. So kama atashitakiwa kuna utaratibu maalumu wa kumleta kutoka Kenya ambapo ofisini ya Mwanasheria Mkuu itahusika...
Back
Top Bottom