Mimi Dentist,nina ka degree kamoja na pia nina mwaka mmoja kazini nipo Arusha private hospital.Natamani sana kuingia jeshini lakini sijajua mshahara wa captain wa kuanzia ni tsh ngapi?
Na pia ushauri wa pili ninaomba kutoka kwenu ni kwamba nikisoma Master of Public Health,msc.molecular...
Kabla ya yote mimi ni mdau mpya kwenye JF,NAWAPENI HI WADAU WOTE WA JF
Mimi ni dentist,naombeni wadau wote mnipe mchongo inakuaje coz kuna wadau ambao wanauelewa mkubwa kuhusiana na masuala hayo.Mimi nipo peripheral,mambo mengi ni ngumu kuyafaham
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.