Wana jf naombeni ushauri wenu kwa wale wenye uelewa wa hili !! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana jf naombeni ushauri wenu kwa wale wenye uelewa wa hili !!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Tslm, May 5, 2012.

 1. T

  Tslm Member

  #1
  May 5, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi Dentist,nina ka degree kamoja na pia nina mwaka mmoja kazini nipo Arusha private hospital.Natamani sana kuingia jeshini lakini sijajua mshahara wa captain wa kuanzia ni tsh ngapi?

  Na pia ushauri wa pili ninaomba kutoka kwenu ni kwamba nikisoma Master of Public Health,msc.molecular biology,msc.epidemilogy kwa jeshini kuna kitengo maalumu kinachohusiana na course hizo au ni course gani nikisoma kuna kitengo maalumu?.

  je kuna tofauti kati ya mshahara wa bachelor degree na master degree kwa kozi nilizozitaja hapo juu?

  NAWASILISHA,Thank you in advance!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

   
 2. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2012
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,217
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  KUhusu jeshini sina information za kutosha ila kuhusu kozi ya kusoma ningekushauri upige hiyo MPH ni very marketable sio tu huko jeshini unakotaka kwenda but hata kwenye mashirika mengine, wanahitaji sana hao watu, mi mwenyewenataka kupiga hiyo kozi, kwa hapa bongo inapatikana muhimbili,kcmc,na bugando university,SUA wameanzisha lakini course content yao sio nzuri,yenyewe inaitwa MASTER OF PUBLIC HEALTH AND FOOD SAFETY,kiukweli haijakaa sawa imebase zaidi kwa wanyama na sio binadamu ingawa binadamu nae ni mnyama
   
 3. T

  Tslm Member

  #3
  May 5, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuuu, shukurani sana kwa ilo na kumbe una mawazo kama ya kwangu!!!!!!! big up!!! kcmc ni 9ml full course,what about Bugando! any information
   
 4. jimjamtz

  jimjamtz Senior Member

  #4
  May 8, 2012
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 147
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Information kuhusu shahara inapatikana pale pale Jeshini.Maana nijuavyo sio Makapten wote wanapata same salary.Kuna tofauti kubwa sana ,na wanalipa according to your trade.
  Kuna nafasi nyingi za dental coz wengi wana retire sasa.
   
Loading...