Recent content by SINA JAMBO

  1. SINA JAMBO

    Nawakumbusha Wana Yanga na wale wote msioipenda Simba

    huku hawezi kuja Sent using Jamii Forums mobile app
  2. SINA JAMBO

    Nawakumbusha Wana Yanga na wale wote msioipenda Simba

    huenda mo akawa chachu pengine bila yeye tungekua kama yanga Sent using Jamii Forums mobile app
  3. SINA JAMBO

    TFF mmemkalia kimya Msemaji wa Yanga sasa madhara yake ni haya

    yani simba iwawekee yanga mbovu ya mwaka huu sumu sometimes muwe serious Sent using Jamii Forums mobile app
  4. SINA JAMBO

    Simba vs TP Mazembe: Rekodi za nyuma

    madrid wana UEFA 13 na wametolewa na Ajax tukiwaambia hii sio mazembe ile mue mnaelewa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. SINA JAMBO

    Catalonia yatangaza timu Yao Taifa kucheza na Venezuela

    kwan washajitenga Sent using Jamii Forums mobile app
  6. SINA JAMBO

    Leo zinapangwa mechi za robo fainali Klabu Bingwa Afrika, Simba chagueni wenyewe kati ya hawa

    punguza bangi kama mpira hamjui au droo ya kabati af tunawaomba mpumzike na fitina zenu hamchoki Sent using Jamii Forums mobile app
  7. SINA JAMBO

    Nawakumbusha Wana Yanga na wale wote msioipenda Simba

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  8. SINA JAMBO

    Nawakumbusha Wana Yanga na wale wote msioipenda Simba

    ifike hatua mmpumzike safar yenu toka mbabane hadi esperance hamchoki Sent using Jamii Forums mobile app
  9. SINA JAMBO

    KENYA: Binti akiri kumsingizia babake kumbaka na kupelekea afungwe kifungo cha maisha

    usituchanye=usituchanganye Sent using Jamii Forums mobile app
  10. SINA JAMBO

    Nawakumbusha Wana Yanga na wale wote msioipenda Simba

    umenifurahisha mkuu ila nkukumbushe mmetutawala miaka mitatu sio nyinyi tu hata Azam Fc na hata jina la mikia fc lilikuja kwenye hicho kipindi.....subirin tuwatafutie na jina zuri ili mue hamna amani kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. SINA JAMBO

    Nawakumbusha Wana Yanga na wale wote msioipenda Simba

    wanajifanya viburi Sent using Jamii Forums mobile app
  12. SINA JAMBO

    Nawakumbusha Wana Yanga na wale wote msioipenda Simba

    mkuu approach ya group stage na knock out ni tofaut tutafanya vizuri Sent using Jamii Forums mobile app
  13. SINA JAMBO

    Nawakumbusha Wana Yanga na wale wote msioipenda Simba

    natamani iwe hivyo n kifupi tuna team inayojua kutafta matokeo tena ya ushindi...hadi raha yani Sent using Jamii Forums mobile app
  14. SINA JAMBO

    Nawakumbusha Wana Yanga na wale wote msioipenda Simba

    hawataamini Sent using Jamii Forums mobile app
  15. SINA JAMBO

    Nawakumbusha Wana Yanga na wale wote msioipenda Simba

    Pale mnaposema Simba this time anaingia kwenye plays off hivo anaweza kutoka kwenye quorter final msijiweke kwenye asilimia 100 kwani hata kabla ya makundi tulicheza plays off na mbabane bila kuisahau team ngumu kabisa Nkana Fc Nawakumbusha hii hatua tuliofikia kila mwana simba anaifurahia na...
Back
Top Bottom