TFF mmemkalia kimya Msemaji wa Yanga sasa madhara yake ni haya

Mohamed Mbelwa

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
507
272
Alipo Andika kwa Mara ya kwanza msemaji wa Yanga Dismas Teni ,huu upuuzi wa kuwekewa sumu,nilitegemea TFF mngemtaka Athibitishe mkakaa kimya, sasa hili limeshakuwa tatizo kila timu itakayo fungwa nyumbani itasingizia sumu, usije shangaa hata timu ya taifa ya Uganda ikatokea hivyo.

Kocha na msemaji wa yanga wanahusika kwa %kubwa kwa uzushi huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni upuuzi wa tff, kuna allegations kibao ambazo hazina maana wanazifumbia macho
Alipo Andika kwa Mara ya kwanza msemaji wa Yanga Dismas Teni ,huu upuuzi wa kuwekewa sumu,nilitegemea TFF mngemtaka Athibitishe mkakaa kimya, sasa hili limeshakuwa tatizo kila timu itakayo fungwa nyumbani itasingizia sumu, usije shangaa hata timu ya taifa ya Uganda ikatokea hivyo.

Kocha na msemaji wa yanga wanahusika kwa %kubwa kwa uzushi huu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alipo Andika kwa Mara ya kwanza msemaji wa Yanga Dismas Teni ,huu upuuzi wa kuwekewa sumu,nilitegemea TFF mngemtaka Athibitishe mkakaa kimya, sasa hili limeshakuwa tatizo kila timu itakayo fungwa nyumbani itasingizia sumu, usije shangaa hata timu ya taifa ya Uganda ikatokea hivyo.

Kocha na msemaji wa yanga wanahusika kwa %kubwa kwa uzushi huu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe tuhuma za hewa chafu ziko muda mrefu? Sasa kwa nini zisichunguzwe badala ya wewe kuja na hitimisho la uzushi? Wewe una uhakika gani kuwa ni uzushi? Au wewe ulihusika kuweka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TFF wanajua ni kweli simba wanapuliza sumu ndio maana wako kimya si unajua rais wa TFF ni mshabiki mkubwa wa simba
AS VITA WAWEWESEKA...

~Kwenye pre match wakadai AC zisiwashwe kwenye chumba chao, hazikuwashwa! Siku ile ya mazoezi wakaomba wakugue dressing room yao, kinyume na taratibu wakaruhusiwa, bado tu wanatafuta sababu! Vita walijifunga wenyewe kwa hofu waliyolishwa hapa Dar! Hiyo panick ikaenda mpaka kwa Wachezaji wao!

Mechi coordinator alikagua chumba SAA 9,wakadeki na akachukua funguo na kufunga wakambiwa waingie waligoma ,wakapewa Uhuru wachague chumba chochote waingie wakakata haya sasa yanatokea wapi wapuuzi!

Hizi taarifa zote zimetokea kwa Constant Omary Rais wa Federation wa Kongo na Kitenge mtendaji wa mazembe mbona Mazembe wenyewe walishutumiwa baada ya kumfunga Club African 8-0 kuwa walitumia sumu na yalikuwa maneno ya washindwaji tu.

Hatuna wasiwasi wowote kuhusu hilo ,walimezeshwa sumu ya maneno na wajinga wakalewa na kupanic hawana jipya

C.E.O wa simba SC Magoli.

Nkana,soura,ahly na mazembe wote hawa wamefungwa goli kipindi cha pili mwishoni mwishoni,ebu jiongezeni hapo mikia
Kweli wewe ndio popoma haswa.Nkana alifungwa goli 2 kipindi cha kwanza.Sourra alifungwa goli 1 kipindi cha kwanza na mawili ndani ya dakika 70.Ahly alifungwa dakika ya 78.Mazembe atafungwa kama ulivyotabiri.
Mechi ya AS Vita na Al Ahly goli la Vita lilifungwa dakika ya 84 nao pia walipuliziwa dawa?
Mbona umeisahau Yanga nao walifungwa na Simba dakika za 70?
Lipuli waliwafunga dakika ya 19 au dawa zilifanya kazi upesi?
UJIMA NI UJAHILI. PUKACHAKA.
 
AS VITA WAWEWESEKA...

~Kwenye pre match wakadai AC zisiwashwe kwenye chumba chao, hazikuwashwa! Siku ile ya mazoezi wakaomba wakugue dressing room yao, kinyume na taratibu wakaruhusiwa, bado tu wanatafuta sababu! Vita walijifunga wenyewe kwa hofu waliyolishwa hapa Dar! Hiyo panick ikaenda mpaka kwa Wachezaji wao!

Mechi coordinator alikagua chumba SAA 9,wakadeki na akachukua funguo na kufunga wakambiwa waingie waligoma ,wakapewa Uhuru wachague chumba chochote waingie wakakata haya sasa yanatokea wapi wapuuzi!

Hizi taarifa zote zimetokea kwa Constant Omary Rais wa Federation wa Kongo na Kitenge mtendaji wa mazembe mbona Mazembe wenyewe walishutumiwa baada ya kumfunga Club African 8-0 kuwa walitumia sumu na yalikuwa maneno ya washindwaji tu.

Hatuna wasiwasi wowote kuhusu hilo ,walimezeshwa sumu ya maneno na wajinga wakalewa na kupanic hawana jipya

C.E.O wa simba SC Magoli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaweweseka! Ni kweli hawana jipya wajipange mashindano yajayo..
 
Kocha wa yanga inaonyesha hakuja kwa mazuri hapa tanzania Bali alikuja kutufitinisha watanzania. Sasahivi utani wa jadi ndo huo unapotea taratibu sasahivi vinaanza kuwa visa juu ya visa. Huu uzushi ukikaliwa kimya na serikari pamoja na mamlaka za kimichezo utakuja leta madhara makubwa sana. Hata mbuyu ulianza kama mchicha. Hili suala la kupulizia dawa linapewa nguvu sana na wanajangwani lakni mamlaka zimekaa kimyaaa!! Siku ikijatokea sintofahamu simba ikaondolewa kweli kwa fitina kwenye mashindano haya. Nina imani hawatavumilia na hawatalikalia kimya nao watatafuta njia ya kulipiza kisasi, matokeo yake ni madhara juu ya madhara. Tutaacha kuitana watani tutaanza kuitana maadui kwà sababu ya upande mmoja kutofurahia mafanikio ya upande mwingine. Chonde tutaniane kwa mambo ambayo yako ndani ya mipaka yetu tusiforce matukio kwa ajili ya kumfurahisha mgeni na kumhuzunisha jirani yako. Hilo suala la kuzushiana halitaishia kwa simba tu ni lazima litagusa msitakabali was taifa zima.watani ni vizuri tukawa na kipimo cha utani.
 
Tulieni malipo ni hapa hapa Duniani. Wakati ule Yanga chini ya Manji ikiwa inaenda kuweka kambi nje ya Nchi kwa Pre season mlikuwa mnadai Serikali iichunguze Yanga kwa kuwa inabeba inapeleka/inaleta Madawa ya kulevya Tanzania. Watu wakakaa kimya,je hilo jambo la hatari mlilokuwa mnalizusha ni sahihi au ndio utani wenyewe huo?
Hata swala la kushangalia Timu ngeni za nje dhidi ya Yanga nyie ndio mliliianza kuanzia kununua jerseys mpaka kuwapokea Timu pinzani,lakini leo Yanga analicopy anaonekana si mzalendo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Malipo gani unayajua wewe punga?
Ungekuwa unayajua ungepumuliwa kisogoni?
Anti Wanjiru.
 
Back
Top Bottom