Recent content by simpo

  1. S

    swali

    Hivi wadau" computer science"mkopo ni asilimia ngapi kutoka bodi ya mikopo?
  2. S

    Janga la mshahara mpya kwa walimu.

    ndugu yangu mi mwenyewe mwalimu wilaya ya kigoma vijijini uskonde ndo maisha ila serikali haiwezi kuwapa shavu walimu wa shule za serikali kwani wao hawapati faida kwa walimu hao zaidi ya kodi tunayokatwa kila mwezi coz watoto wao wanasoma ulaya sasa akupe wewe shavu ukamfaidishe mtoto wa...
  3. S

    salamu

    mambo vipi members wote wa jamiiforums mi niko poa nawapa hai mana kitambo sana sijatokea pande izi za jamiiforum
  4. S

    kero

    kiukweli inaboa na inakera,serikali ilitangaza kuwa zoezi la sensa litakalofanyika tarehe 26.8.2012 litafanywa na walimu ambao watapewa kipaumbele,cha kushangaza walimu hao wengine hawakupewa nafasi hizo na badala yake wamepewa wasiokuwa na sifa za ualimu na pia walitangaza katika baadhi ya...
Back
Top Bottom