na wewe huwa unapita barabara kuu tu ukitembea, na unabakia na michuki yako tu inayowajaza upofu....Daamn!Njoo Moshi ujionee na utembee kiukweli mitaani, vijjini nk. acha ufala!
Kama ulifikia Hindu Mandal hapa Moshi, ulitegemea ukirudi ukute imebadilika?
Nenda London uniambie ni kitu gani kimebadilika ie majengo yake,toka mara ya mwisho kama ulishawahi kufika huko!
Trafalger square haiko vilevile?charing cross?Miji mingine huwa wanapreserve majengo yao ya...
Moshi inakuwa kimpangilio tofauti na hizo sehemu nyingine ambapo wahamiaji wanaoongeza population,wanaishia kuwa homeless na vibaka.Fuatilia ukuaji wa Moshi ukitaka kujuwa.
Unaposema benki zitakimbia una maana gani na wakati zimeongezeka huku mkisema hakuna maendeleo?Ama ni ushabiki na porojo?
wewe umesema ukweli.Pia mabenki mengi tu mapya yamefunguliwa.Halafu wanasema hakuna mzunguko wa pesa.Wanadhani hizo financial institutions kazi yake ipi?
Moshi imepiga hatua kubwa sana kutokea miaka ya 2000's na kuendelea.Na hata sasa unaendelea kupiga hatua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.