Recent content by Simple8

  1. Simple8

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha ninayoishi ni ya ajabu kweli, ushauri wako unahitajika

    Kumbe introvert Tupo Wengi gumu! Nadhani the "goal of life is happiness" aliwahi kusema mwanafalsafa,so kama maisha Hayo yanaleta furaha! No problem, maisha hayana formula!!
  2. Simple8

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha ninayoishi ni ya ajabu kweli, ushauri wako unahitajika

    Mimi mwenyewe ndo maisha yangu mpaka sasa. Sipendi kujichanganya na RAIA.
  3. Simple8

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vaileth

    Mwambie namsalimia.
  4. Simple8

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vaileth

    Ha haaaaahaaaaaaaahaaaaaaa!! Labda yuko koromije kwimba..
  5. Simple8

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vaileth

    Hivi yule video vixen wa video ya vaileth ya matonya Yuko wapi!? Mwenye taarifa tafadhali! Nimemkumbuka tu!Alikuwa so natural..!!
  6. Simple8

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

    pole.
  7. Simple8

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inakuje msichana unakuwa mwizi? Mdada mrembo lakini kaniibia.

    A slay queen is a woman who wants to choke everyone else with how beautiful and cool they are. Social media and slay queen are “chanda na pete” literally. The slay queens party hard have their make up intact all the time.Sasa Huyo naye ni miongoni mwao!
  8. Simple8

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inakuje msichana unakuwa mwizi? Mdada mrembo lakini kaniibia.

    pole sana mkuu,niliwahi Kulea uzi unaoendana na huu,mademu wenye muonekano huwa ni empty minded kabisa! Na nilisha acha kushoboka nao kabisa! Sasa mtu kama huyo hata katika maisha atakuwa ni hasara tu! Demu mzuri kibaka!!
  9. Simple8

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipi unajivunia kwa mpenzi wako wa zamani?

    Nimeamua kusikiliza wimbo wa fool again!!
  10. Simple8

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fine dining vs casual dining: Tanzanian chicks

    Ngoja nianze majaribio! Nitawapeleka kote fine and casual!! Exposure muhimu sana.
  11. Simple8

    JamiiForums Tanzania Jinsi wanausalama wa mtandaoni wanavyowapata watu

    Duniani!
  12. Simple8

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Crossroads: Ex wa mke wangu wanaendelea kuwa karibu na wife hadi sasa

    Wanaotuamasisha kuoa wanakosea! Cheating cheating yaani cheating everywhere..
  13. Simple8

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Crossroads: Ex wa mke wangu wanaendelea kuwa karibu na wife hadi sasa

    Pole sana brother! Mm nadhani Huyo mkeo hakukupenda,alikuhitaji kutokana na jitihada zako,pia ni matokeo ya yeye kuingia katika mgogoro na boyfriend wake! Sasa Huyo mtu anaweza kumsahau/kumuacha Huyo jamaa iwapo atapoteza mawasiliano naye otherwise Huyo jamaa aamue kumuacha mkeo! Sasa we we...
  14. Simple8

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni nadra sana kupata msichana mzuri halafu ana akili. Bro nisamehe nilikukosea sana

    Wanawake warembo mnoboa!!
Back
Top Bottom