Recent content by Simon Salvatory

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa katiba hakuna mgombea huru hivyo hatuchagui mtu tunachagua chama!

    pamoja sana ndugu.... ccm ni janga la taifa
  2. S

    JamiiForums Tanzania Aunt Ezekiel na Ray wazungumzia kurudi kwao CCM - Live on Clouds TV

    wao ni kina nani hasa watuondoleee kelele zao wauza sura tu hao watanzania tunahitaji mabadiliko
  3. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa azomewa na wanachama wa CHADEMA

    duh!!! inaonekana ccm wanakulipa posho nzuri sana kwa propaganda za kizushi kwenye mitandao but OK uko vizuri
  4. S

    JamiiForums Tanzania Logistic and Transport Management, National Institute of Transport

    jaman wandugu na marafiki naombeni msaada wenu juu ya hii kozi hapo juu.Sijaielewa but kwenye kitabu cha tcu nimeiona na inamkopo lakini nashindwa kuelewa ajira yake inapatikana au la...na pia inahusika na nini hasa.naombeni msaada wenu marafiki.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nape: CHADEMA wamepewa fedha na wazungu kuvuruga mchakato wa katiba

    nape amezoea kuropoka tu huyo hana lolote...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kinana achomoa kesi dhidi ya Tundu Lissu

    PEEEEOOOPLEEEEZ.............kila cku tunasemaga kuwa CHADEMA cku zote tunaanza na MUNGU na tunamaliza na MUNGU,tatizo la ccm wao huwa wanaanza na miguu wanamalizia na kichwa....safi sana LISU
Back
Top Bottom