Recent content by Simon Mnyama

  1. S

    SoC04 Natamani kuona ushirikiano baina ya Sekta ya Afya dhidi ya taasisi zinazosimamia imani za kidini nchini Tanzania

    Ila kama lengo ni kuinua afya ushirikiano huu unaweza kuwa safii. Mfano mtu akitoka kanisani akaenda hospital kufny vipimo kisha akarudi kanisani kwa ajili ya kuombewa huo ugonjwa huku akiwa amepewa na initial management ya hospital sana sana hay magonjwa yanayoathiri taratibu taratibu kama...
  2. S

    SoC03 Nitafurahi kuona uboreshaji wa mfumo na muongozo wa utoaji wa taarifa za Kiserikali nchini Tanzania

    Kiukweli kuna haja ya kuboresha mfumo huu, maana wananchi wengi huwa tunatamani kupata taarifa lkn zinachelewa sana kutufikia mpaka waone tumelalamika sana. Hongera ndugu yangu
  3. S

    SoC02 Kilio changu katika sekta ya Afya

    Kijana unampango wa kuwa wizarani Anyway good idea!
  4. S

    SoC02 Ni muda muafaka wa kuinua vilivyo vyetu

    Mimi pia ni mkereketwa wa hili jambo mfano sabuni za JAMAA ambazo hutengenezwa Kenya zmekuwa maarufu utadhani zinatoka Tanzania ipo haja kubwa ya wazalishaji wetu kuboresha ubora wa bidhaa zao.
  5. S

    SoC02 Ni wakati sasa wa kumaliza vita hii ya vijana dhidi ya ukuaji wa sayansi na teknolojia

    Daah! Hakika vijana mna madini sanaa......... kiukweli hii mada safi sana!
Back
Top Bottom