Hili suala wananchi wengi walikuwa wanalichukulia kama halina umuhimu baada ya kuona huduma za jamii zinakaribia kutoweka kabisa hususan huduma duni za afya, elimu isiyo na kiwango, kupanda kwa umeme na huduma inayotolewa haina kiwango pamoja na wizi wa mabilion watu wamekuwa na mwamko wa...
Huku bunda, mara tumekatiwa umeme tutakuwa tumekoswa mengi ya huko bungeni na waziri wetu wa nishati na madini sospeter Muhongo anatakiwa kujiuzulu kwa sababu ni muongo jana alitangaza kuwa anawaagiza mameneja wote wa Tanesco waakikishe umeme haukati nchi nzima ili watanzania wote waweze kuona...
Jaman mi cna iman na mwigulu hawo walikaa chama kizima wakatoa maamuzi watetee wezi sisi wananchi inatakiwa tuDELETE CCM hamna kazi ya maana wanayoifanya serikalin tofauti na wizi unaoendelea.
Sisi wananchi ndo inatakiwa tuchukue hatua maana haiwezekani viongozi wakuu wa serikali waibe mali ya umma jaman kuna uchaguzi mkuu mwaka kesho tusiwahukumu viongozi walioiba hizo hela bali tuhukumu chama cha mapinduzi CCM kwa sababu wana sera moja ya umoja wao ndani ya chama kutetea maovu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.