Recent content by SIMON CONDRAD

  1. S

    Tetesi mishahara ya walimu

    kujadili mishahara ya walimu hapa sio issue nzuri. Mbona msojadili mishahara ya rais, wakuu wa mikoa na wilaya ama usalama wa taifa. Acheni mambo hayo jadilini mambo ya msingi
  2. S

    Nimeanza kushawishika kwamba kuna baadhi ya Wabunge wanavuta bangi,,,

    hivi katoa hiyo kauli ni kweli kaitoa au masihara maana huyu mbunge wetu kwa kuropoka hajambo
  3. S

    Nimeanza kushawishika kwamba kuna baadhi ya Wabunge wanavuta bangi,,,

    hivi hii issue ya Lusinde ni ya kweli au maana kama ni pumba leo kiboko
  4. S

    CHADEMA wamvaa Kamhanda

    BARAZA la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Mkoa wa Iringa, limeelezwa kusikitishwa-na kitendo cha Kamanda wa Polisi mkoani humo, Michael-Kamuhanda kujivika jukumu la kupachika raia vyeo ambavyo haviko kwenye utaratibu wa chama. Kauli ya CHADEMA imekuja siku moja baada ya...
  5. S

    Mwigulu akiri kuhusika na video ya lwakatare

    HATIMAYE Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Mwigulu Nchemba, amekiri kuhusika na video inayomwonesha Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wilfred Lwakatare.Nchemba amekuwa akitajwa na viongozi wa CHADEMA kuwa anahusika kutengeneza...
  6. S

    Lissu afichua mapya sakata la Lwakatare

    Mwanasheria wa CHADEMA,Tundu Lissu, amesema wamebaini kuwepo kwa mawasiliano zaidi kati ya Mwigulu Nchemba na mtuhumiwa mwenza wa Lwakatare, aitwaye Ludovick Joseph. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Lissu alidai kuwa tarehe Januari 14, mwaka huu, namba ya simu+255756008888- ya Nchemba...
  7. S

    CCM yakiri kubebwa na Dk MWAKYEMBE

    KATIBU Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, amekiri kuwa Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, amekipa chama chake mradi wa kifisadi wa mamilioni ya shilingi wa upanuzi wa eneo la bandari jijini Dar es Salaam, kinyume cha taratibu. Katika taarifa yake kwa...
  8. S

    Magazeti Habari Corp Yameanza Kumjenga Lowassa na Kubomoa CHADEMA!

    Wasingefukuzwa wasingeongea? wanakichafua ChADEMA kwa sababu tangu mwanzo Shonza na Mwampamba walikuwa na lengo la kukiua chama. Suala la sumu tangu mwaka jana wanaliongelea na suAla la sumu ata kama ni la kweli ni la Zitto na DR na sio la CDM kwa sababu mtuhumiwa ambaye ni saanane alisema...
  9. S

    hodi wenyeji

    Hellow
Back
Top Bottom