Recent content by SimbaWaBoda

  1. S

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Serikali yasitisha mradi wa ujenzi wa barabara ya mzunguko wa kati unaopita kata ya Nkuhungu

    Hapo nadhani ilio ondolewa ni middle ring road ambayo ni ile ring road ya kati. Outer ring road ambayo ndio ya muhimu zaidi na ambayo itakua funded na ADB bado ipo kwenye plan. Na outer ring road ndio muhimu zaidi ku route big trucks traffic ya zile njia nne kubwa kutoka nnje ya jiji bila ya...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usimuonee mtu aibu, mifumo ya Serikali inachezewa kwa makusudi

    Ata kwa kupitia TTCL, mbona huduma imekua nzuri kwa miaka na turn around times za matatizo nzuri kurekebisha hitilafu. Nini tofauti sasa?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usimuonee mtu aibu, mifumo ya Serikali inachezewa kwa makusudi

    Duu! Hitilafu kwenye mfumo wa mawasiliano ni jambo la kawaida? Je backup systems, turn around times na business continuity ni kitu gani? Mbona nchi za wenzetu mifumo sio rahisi kuanguka? Kwahio sisi mifumo yetu ina utofauti gani na hio mifumo ya teknologia kwingine?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini UDART haikujenga Monorail?

    Zimekuwepo proposals za Dar es salaam Commuter rails and feasibilities kadhaa zimefanyika. Example: https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/news/business/trc-eyes-six-commuter-railway-networks-in-dar-2704758
  5. S

    JamiiForums Tanzania LATRA yawataka wenye mabasi ya abiria kuanza kutumia tiketi za mtandao, watakaoshindwa kufanya hivyo kufutiwa leseni

    Na pia basi likiharibika njiani, refund inaweza fanyika kwa watu wote kwenye simu zao au hio safari data zote zikaingizwa kwenye basi litalo kuja wabeba nakadhalika. Digitali uwezekano auna kikomo, ni jinsi tu zile program walivyo zi seti, kila kinacho itajika kinaweza fanyika au ongezwa kwenye...
  6. S

    JamiiForums Tanzania LATRA yawataka wenye mabasi ya abiria kuanza kutumia tiketi za mtandao, watakaoshindwa kufanya hivyo kufutiwa leseni

    Kuna kitu kinaitwa Mobile POS, hio inaweza kua popote kwenye gari na njiani watu wakipanda, wanakatiwa tiketi popote pale. Sijui kama hii nayo itatatumika, lakini ndio ilivyo. Huu mfumo mzuri sana, ni watu tu kutoelewa.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kwa tulioumwa mafua yale ni mashahidi tosha, nahisi ile ilikuwa ni Covid 19

    Pia inasemekana kesi ya kwanza ya Corana China imerepotiwa 17 Novemba 2019. Hii imeandiwakwa kwenye tovuti nyingi kwenye net: First Covid-19 case happened in November, China government records show - report Kwahio kuna uwezekano mkubwa ilikua inasambaa chini kwa chini kabla kufahamika...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kwa tulioumwa mafua yale ni mashahidi tosha, nahisi ile ilikuwa ni Covid 19

    Coronavirus ni aina ya ugonjwa umegundulika zamani sana. Lakini inategemeana kila ukiibuka unakuja kinamna yake na makali yake. Ni gonjwa lipo kwenye wanyama na pia uwa inaweza kuwaibukia wanadamu kama aina za Coronavirus zilizo athiri wanadamu myaka ya nyuma ni kama SARs na MARs ambazo mdau...
Back
Top Bottom