Recent content by simbamzeewamwakidila

  1. simbamzeewamwakidila

    JamiiForums Tanzania UKIMWI upo ndugu zangu

    Hahaaaa
  2. simbamzeewamwakidila

    JamiiForums Tanzania UKIMWI upo ndugu zangu

    Chuo kinatangazwa redioni ukifika panda ghorofani mango wa Kwanza kushoto
  3. simbamzeewamwakidila

    JamiiForums Tanzania UKIMWI upo ndugu zangu

    Duu
  4. simbamzeewamwakidila

    JamiiForums Tanzania Radi ya Maajabu yapiga Tanga, TMA toeni Taarifa

    Laini laini hao
  5. simbamzeewamwakidila

    JamiiForums Tanzania Radi ya Maajabu yapiga Tanga, TMA toeni Taarifa

    Yahe wa tanga huyo laini laini hajasikia radi toka azaliwe
  6. simbamzeewamwakidila

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Barabara ya Mbezi Luis kwenda Mpigi Magoe ni mbovu sana, Wananchi tunateseka jamani

    Barbara nyingi jijini ni mbovu mfano kibamba kwa mangi ukielekea kwa mpemba au mdidimua sijui hata kama manispaa wanajua Mie binafsi hata sielewi diwani wa huko anamuwakilisha Nani. Ningekuwa ni mapenzi yangu huyu diwani akija omba kura tena afukuzwe
  7. simbamzeewamwakidila

    JamiiForums Tanzania Ujumbe huu uwafikie Askari wa JWTZ

    Hili nafikiri la maaskari wote na watu wa media
  8. simbamzeewamwakidila

    JamiiForums Tanzania Ujumbe huu uwafikie Askari wa JWTZ

    Kweli hawa mabwana huwa wanaona Wako juu ya kila kitu
  9. simbamzeewamwakidila

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Yamekuwa hayo ya dini tena
  10. simbamzeewamwakidila

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nipo shinyanga hapa sasa hivi wamekata kurudi majaliwa Wangetuweka wazi Tu kuwa kuna mgao tujue
  11. simbamzeewamwakidila

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hivi sasa hivi kuna mgao unaendelea nchini? Maana maeneo ninayoishi shinyanga kila jumapili saa moja kasoro umeme unakatika kurudi sijui saa ngapi maana inakuwa usiku mwingi
  12. simbamzeewamwakidila

    JamiiForums Tanzania Ruti ya DODOMA TO MWANZA - Msaada wa anayejua Kampuni nzuri ya Bus

    Katarama& happy nation
Back
Top Bottom