Recent content by SIMBA NYANI

  1. S

    James Mbatia 'live' on ITV kuhusu matukio ya kisiasa kipindi hiki cha kampeni!

    ELISA MUHINGO' Nilipokuwa nafanya kazi mbeya niliwahi kuambiwa na mzee mmoja kuwa ukitaka kumtambua mtu kuwa huyu ni mwanamme kiukweli mpe pombe akalewe kwanza. Hapo utajua kama akilewa anajiheshimu, anabwatuka hovyo au anakuwa na tabia gani (mengine sisemi maana sitaki kuhusishwa na...
  2. S

    Mhubiri nchini Afrika Kusini, huwalisha waumini nyoka, nywele, huwakanyaga eti ili kupima imani yao

    Mhubiri Penuel Mnguni wa nchini Afrika ya Kusini anakabiliwa na mashataka ya baada ya kuwalisha waumini wake nyoka wazima ili kuwapima imani yao.
  3. S

    Lema: Heshima kubwa kwa Mungu kumzomea Fisadi Lowassa

    Ha ha ha lakini kesho kutwa utakuja kuwasikia wakimsafisha kwa dodoki
  4. S

    Waraka wa Marehemu Chacha Wangwe na Hatma ya Siasa za CHADEMA

    Utangulizi : Jarida hili la Mheshimiwa Chacha Zakayo Wangwe lina sehemu tatu. Sehemu ya kwanza litaweka bayana na kufafanua sababu za mimi kuchafuliwa kisiasa na baadhai ya viongozi wa ngazi za juu za Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, na sehemu ya pili itaonyesha baadhi ya...
  5. S

    Kwa upuuzi huu wa Abdallah Majura, kwanini Halima Mdee asizidi kuwa mbunge wa ukweli Kawe?

    Mpuuzi ni wewe unayedhani michezo siyo muhimu. Majura kasema kipaumbele michezo lakini haimaanishi kuwa kaacha vingine. Ni kwasababu ujui michezo ikiendelezwa vizuri inavyoweza kusaidia kutatua tatizo la ajira na kuingizia taifa fedha nyingi ndiyo maana unakurupuka
  6. S

    Mji wa Geita wasimama, Maelfu wampokea John Magufuli akiwa njiani kuelekea Chato

    jembe hilo likipokelewa. ni wazi kuwa jamaa ataiboresha nchi akipewa nafasi na watu wanaimani nae Magufuli defends roadwork workmanship THE Minister for Works, Dr John Magufuli. THE government has defended the...
  7. S

    Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe

    "Lissu anasema nimepewa magari 2 na Mzee Mkono. Anasema kaambiwa na Mkono. NaaminiMkono alimwambia pia mwaka 2005 alimpa Freeman Aikaeli Mbowe tshs 40m ili Mbowe asifanye kampeni Musoma vijijini. Nadhani alimwambia pia mwaka 2008 (baada ya orodha ya mafisadi kutangazwa 2007) Mkono alimpa...
  8. S

    Bunda: Watangaza nia CHADEMA wapigana

    siasa za kibinafsi ni mbaya sana kwani ni lazima mtu uwe kiongozi huwezi kuwa mwanachama?
  9. S

    Hongera Makonda, umeonesha njia!

    Wadau, Baniani mbaya kiatu chake dawa! Pamoja na maneno ya kejeli yalitolewa kwa Paul Makonda wakati anateuliwa kuwa mkuu wa wilaya, lakini ameonesha kuwa ni mweledi na anaijua kazi. Leo kawaita vijana waliomaliza vyuo na kujadiliana nao kuhusu tatizo la ajira, ambapo vijana wameambiwa...
  10. S

    Magufuli amtembelea Askofu Malasusa

    tunawataka viongozi kama hawa
  11. S

    Mbunge wa Mpanda Mjini, Said Arfi ajivua uanachama CHADEMA

    Mimi nashindwa kuelewa ivi inakuwaje kiongozi wa upinzani Anapokuwa na urafiki na kingine mwingine wa chama tawala anaitwa msaliti hadi anafukuzwa kwani siasa ni uadui ?
  12. S

    Muswada wa Sheria ya Mafuta na Gesi: Wapinzani Wanafahamu Ngoma Wanayoicheza?

    kwa jino nilivyouonamswada uko poa sana marekebisho ni madogo tu
  13. S

    Mali za Gwajima zaanikwa: Akisiwa Kuwa Mchungaji Tajiri Afrika!

    duuh1 KAMA MALI ZILIZOTAJWA ZOTE NI ZAKE BASI IPO HAJA YA HAWA VIONGOZI WA DINI WAKAWA WAKIANGALIWA MARA MBILI MBILI MAANA NCHI INALIA NJAA HATUWAONI WAKITOA MISAADA YA KUELEWEKA
Back
Top Bottom