Waziri Magufuli ageuka mbogo asusa kupokea barabara ya Kilwa

Magufuli akikataa barabara iliyojengwa chini ya kiwango. Straight to the face hakuna aibu katika maendeleo namuombea Mungu hekima achague majembe wenzake akiwemo Mwakyembe,Prof Muhongo,Deo Filikunjombe,Ester Bulaya,Makongoro Nyerere. Hawa watasaidia kuharakisha maendeleo na Watanzania muda sio mrefu watakula kuku kwa mrija.
 
Last edited by a moderator:
Baada ya kuikataa alifanya nini mbona leo ipo vilevile na hajafanya lolote? Kajamaaa kanapenda sifa za kuonekana kwenye TV basi. Ukitaka asiongee mbwembwe ondoeni kamera za TV. Ni kama kova vileeeeee
 
Baada ya kuikataa alifanya nini mbona leo ipo vilevile na hajafanya lolote? Kajamaaa kanapenda sifa za kuonekana kwenye TV basi. Ukitaka asiongee mbwembwe ondoeni kamera za TV. Ni kama kova vileeeeee
Hadi siku akuzabe vibao ndo utajua huwa hatanii...
 
Alikataaa barabara baadae akajificha chini ya meza anabweka.Tinga tinga ndio zake kama hamtaki piga Mbizi kwenye rami
 
Atufafanulie na haya1-kumuuzia nyumba ya serikali hawara yake 2-hasara ya kulipia meli ya uvuvi ya kichina 3-kulipia fidia kituo cha mafuta Mwanza-4-boti la Bagamoyo......itaendelea.
 
Hao wote ni wapate ubunge kwanza tuone, au ndio awape ile ya kuwapatia bila kuchaguliwa.
 
Sina hakika kama mfumo uliotamani kumpeleka madarakani unaweza kumruhusu kuendelea na ujembe wake. Mie sikuwahi kuamini kama Makomredi kama Kigunge wanaweza chini ya mfumo kuwa wanalilia kukusanya ushuru kwa kuiba Ubungo stendi. Kama tunategemea chochote tusubiri kulia, walivyoonyesha wanao uwezo wa kukamata watu wabeba viroba vya hela za kampeni pale wanapotaka kumdhibiti mtu, wanaweza kuwa wapinzani wazuri. Wapeni nafasi hiyo
 
Baada ya kuikataa alifanya nini mbona leo ipo vilevile na hajafanya lolote? Kajamaaa kanapenda sifa za kuonekana kwenye TV basi. Ukitaka asiongee mbwembwe ondoeni kamera za TV. Ni kama kova vileeeeee

Imefumuliwa yote na matengenezo yanaendelea, acha umburula wew na ushabiki wa siasa za maji taka
 
Imefumuliwa yote na matengenezo yanaendelea, acha umburula wew na ushabiki wa siasa za maji taka
Ilifumuliwa lini acha kudanganya watu au kubandika viraka ndo kufumua, mbona hajawahi kurudi kuifungia tena? Wizi mtupu barabara zenyewe za msaada na mikopo halafu zinaharibika hata kabla ya mkandarasi hajaondoa hata bulldozer site. Wanakuza deni la taifa kwa kujenga barabara za cement na mchanga ambazo baada ya mwaka mmoja zinapukuchika kama mahindi.

Zinajengwa barabara kwa ajili ya kupitisha maroli huku wakihujumu reli halafu Mnataka tuwapigia makofi wakati reli ambayo ni muhimu kwa uchumi wa nchi ikiuhujumiwa. Wangekuwa na nia njema ya kujenga miundombinu, cha kwanza ingekuwa kuimarisha reli ili kuondoa maroli mazito kwenye barabara. Kawandaganyeni wanaopokeaga kanga na chumvi!
 
Imefumuliwa yote na matengenezo yanaendelea, acha umburula wew na ushabiki wa siasa za maji taka

We ndio una siasa za maji taka,pamoja na kumufumuliwa kote hakuna cha maana kilichofanyika, kwa sasa wapo maeneo ya mtongani nenda pale mvinjeni, bandari, ufundi waliokoisha toka uone hali ya barabara ilivyoisha anza kubonyea!! hata mwaka bado
 
Atufafanulie na haya1-kumuuzia nyumba ya serikali hawara yake 2-hasara ya kulipia meli ya uvuvi ya kichina 3-kulipia fidia kituo cha mafuta Mwanza-4-boti la Bagamoyo......itaendelea.

Mahela aliyolipwa mmiliki wa kituo cha mafuta cha total kilipobomolewa pale mkimani city
 
barabara ya kilwa haikubadilika. jamaa huwa anapiga mikwara kujitengenezea mazingira ya kupewa rushwa nyingi.
 
Baada ya kuikataa alifanya nini mbona leo ipo vilevile na hajafanya lolote? Kajamaaa kanapenda sifa za kuonekana kwenye TV basi. Ukitaka asiongee mbwembwe ondoeni kamera za TV. Ni kama kova vileeeeee

Ulitaka iweje?usiulize Tanzania imekufanyia nini? jiuluze umeifanyia nini Tanzania!
 
Back
Top Bottom