Tanzania nchi yangu. Nimekuwa kwako toka nimezaliwa mpaka Sasa Nina wajukuu. Mengi nimejionea na kila uchaguzi mengi nayaona.
Mazuri yapo na mabaya pia Ila siku zote tumeweza kuvumiliana bila kuvunjiana adabu wala miiko. Natamani iwepo kamati itakayo simamia malengo ya nchi ya muda mrefu...
Lengo la kuandika hivi ni Nini hasa? Kuonyesha akili yako ilivyo ndogo Kama akili za mbu mpenda damu. Waathirika wawekewe alama we umeona wapi hili likifanyika?? Wakishawekewa kufuatacho ni Nini?? Acha kuwa na mawazo mgando kichwa Maji wewe..shahawa zako ulizopatiknana wewe Bora bab yako...
Sasa wewe 300 unalalamika kweli?? Ingekuwa buku wewe si ungeandamana kweli?? Cha msingi hudhiria vikao vya shule na ukapinge hizo ajenda huko. Huku tutakuona hamnazo tu
Habari wanajukwaa. Leo nimekuja mbele yenu kuleta mada ihusiyo ubovu wa Barabara ya mwandege-mkuranga. Barabara hii ni muhimu kwa mikoa ya kusini kutoka Dar.
Kwa kweli barabara hii imejaaa makorongo na mabonde( tunaweza hata kufugia samaki). Kadhia tunayopata wasafiri wa njia hiyo ni kubwa...
Laana ilianza toka watu wa Israel walipotaka kuwa na mfalme. Waliambiwa Sifa za mfalme zitakuwaje na wakatii. Leo sishangai wanachokifanya watawala wetu maana kiliandikwa. Na maandiko hutumia kwa njia Moja au nyingine.
Pole kwa changamoto hii unayopitia. Mpeleke mtoto hospital ya karibu yenye wataalamu wa afya ya akili, Hawa watawasikiliza na kuwapa ushauri Bora wa Nini mfanye kuepukana na hili au kupunguza hiyo kadhia. Wataalmau Hawa wapo kuanzia hospitali za wilaya, mkoa na rufaa. Ni vituo vya afya(Health...
Pole mdau..hiyo mikopo Huwa wanagawana halmashauri kwanza zikibaki makombo ndio wanapewa walioomba connection. Na ukipata sio kile kiasi ulichoomba. Nenda benki kakope maisha yaendelee. Hiyo ya hazina waachie halmashauri na watu wao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.