Recent content by silver25

  1. silver25

    Hotuba ya Rais Kikwete kuliaga Bunge - 09, Julai 2015

    Inamaana ukawa hawapo bungeni?
  2. silver25

    Wana ACT siasa sio lelemama, tusiwacheke wakina prof. Lipumba

    Mkoloni akikaribia kunyang'anywa Dola hutumia nguvu, Kuna tofauti gani kati ya kipindi cha ukoloni na sasa?
  3. silver25

    Wana ACT siasa sio lelemama, tusiwacheke wakina prof. Lipumba

    kabla hatujaanza hizi siasa tunapaswa kujijenga kisaikolojia kuwa mambo haya yanayo tokea kwa wapinzani yanaweza kutokea kwa mtu yeyote. CHAMA chochote cha upinzani katika nchi yenye chama tawala chenye ufisadi mwingi, matumizi ya nguvu ni jambo la kawaida sana (mfano mzuri hapa Tanzania.)...
  4. silver25

    Msajili: Mwigamba ni sawa na jiwe lililojambiwa na chui

    Huku tukiendelea kufuatilia Siasa. Kama jambo huna uhakika nalo liache lielee wewe uwe mtazamaji. Sio kila jambo unatakiwa kulitolea Ufafanuzi kwasababu utajikuta unatoa ufafanuzi wa Hadithi ya Ngoswe wakati Taarifa inahusu Siasa. Sijaona ulicho kimaanisha mpaka sasa. NAMAANISHA WEWE MTOA MADA...
  5. silver25

    Msajili: Mwigamba ni sawa na jiwe lililojambiwa na chui

    Mti wenye matunda matamu hupigwa mawe kama hivi any way mwigamba keep it up. Kama unawatishia watu kwa kufanya siasa safi, basi kaza boot.
  6. silver25

    Mbowe,Lissu , wammnyooshea mikono juu Zitto Kabwe

    unamuombea msamaha?
  7. silver25

    Yaliyojiri Bungeni: Alhamisi, 27 Novemba, 2014 - Mjadala Ripoti ya Tegeta Escrow Account

    Kwani PINDA anapojibu maswali lumbesa lake lipo pembeni ili arudishe pesa zetu?
  8. silver25

    PAC: Maoni, Maswali, Mapendekezo na Ushauri wa yatokanayo na report ya PAC

    Kichwa cha habari ni tofauti na ulichokiandika ndani unaweza kujipanga vizuri? Maana Roman Cathoric sio Taasisi ndogo kama unavyo fikiria, na Kilaini ni sawasawa na tone la sukari Baharini hawezi affect chochote katika muenendo wa Kanisa Duniani, Waumini wake hawahesabiki dunia nzima na Roman...
  9. silver25

    Jaji Werema, Prof. Muhongo, na Andrew Chenge wako tayari kujibu Vihoja vya kamati ya Zitto

    Wana TAPOFOR hivi munalijua Lumbesa? Lumbesa ni gunia ambalo limejazwa vitu halikutosha wakaongeza kipande kingine kwa juu ili liweze kubeba vitu vingi. Sasa ukiangalia katika list ile iliyo Tajwa na bwana Zitto, kuna jamaa mmoja kachukua kingi sana (kubwa la maadui) je yeye ndo alibeba Lumbesa...
  10. silver25

    Jaji Werema, Prof. Muhongo, na Andrew Chenge wako tayari kujibu Vihoja vya kamati ya Zitto

    Wakati wanakuja kupangua hoja waje na Malumbesa ya pesa walizo kwapua tutawaelewa
  11. silver25

    Hakuna atakayeachia ngazi sakata la Escrow

    Kiherehere hiki jamani, unaweza Zaa bila uchungu hatareeeeeeee
  12. silver25

    Report ya CAG isiwe Useless tu kwa kuishia Bungeni

    Jaman what is the Way forward baada ya kuwafahamu Vibaka wetu?
  13. silver25

    Pinda akubali kujiuzulu jioni hii

    Mimi nimesikia pia Tibaijuka, Muhongo na Beno Nduru wataachia ngazi hivi punde sasa najiuliza CCM ndo munataka kucheza kalata ipi kwa kuwatoa kafara hao? sisi tunataka waende Mahakamani wafilisiwe hapo ndipo tutaona aki imetendeka, lasivyo hata hao watateuliwa na Mkulungwa wataiba tu.
  14. silver25

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatano, Tarehe 26 Novemba, 2014

    Sasa huyu ,wemyekiti mbona anafanya haya mambo kama yuko na familia yake tu. Sasa mjadala jioni ndo nini ili iweje sasa. wakati sisi tunasubiria sasa hivi tujue mbichi na mbivu? HAWA CCM mbona siwaelewi Anataka aje jione aseme kuna katazo kutoka Mahakamani.
Back
Top Bottom