Recent content by siligiye

  1. S

    Komandoo wa JWTZ Kikosi cha Ngerengere mbaroni kwa mauaji

    Lakini katika hali yakawaida haiwezekani kwa mtu anayeogopeka na kuheshimika kiasi hicho mtu akawa hana tension na mke wake!!!! Mimi nahisi kuna ukweli umejificha tutaendelea kujuzwa kitakachoendelea tupate ukweli.
  2. S

    Komandoo wa JWTZ Kikosi cha Ngerengere mbaroni kwa mauaji

    Duuuh!!! Mwanamke inaonekana alikuwa hapendi urafiki wao na ndiyo maana akatafuta sababu kuwachonganisha matokeo yake matatizo yamemfika yeye na familia yake... R.I.P Alkado
  3. S

    Utapeli wa kazi Shanta mining gold Songea

    Sorry namba zao ndio hizo hapo
  4. S

    Utapeli wa kazi Shanta mining gold Songea

    Ndugu zangu habari ya weekend.... Kuna matapeli walitoa matangazo ya kazi kwa kivuli cha mgodi wa Shanta mining, nami pia ni mmoja wapo niliyeomba nafasi tangazo nililiona njombe. Leo wamenipigia simu wanasema niwatumie laki moja na nusu (150,000) kama ada ya majibu... Wakati naendelea kumhoji...
  5. S

    Utapeli wa kazi shantamining gold Songea

    Ndugu zangu habari ya weekend. Kuna watu walitangaza kazi za mgodini mgodi wa shantamining Songea na tangazo hilo nililiona Njombe nami pia nikaomba kazi. Leo wamenipigia simu kwamba niwatumie laki moja na nusu (150,000) kama ada ya kujibiwa sasa sikuelewa kujibiwa nini. Nilipoendelea kuwahoji...
  6. S

    CCM wahaha kuwashawishi UKAWA kwa malipo ya millioni 500

    Tuendelee kumwomba mungu hii serikali ya rushwa ianguke
  7. S

    geor davy anahojiwa chanel 10

    Mmmh.... Yangu maskio
  8. S

    Nafasi za kazi, Afisa Mauzo

    Kaz yenu.. Gar langu...
Back
Top Bottom