Recent content by Silicone

  1. Silicone

    Waliosaini Maadili ya Uchaguzi waanza kulia kilio cha Mayowe

    Ninavyojuwa Mimi ni kwamba Maadili ya Uchaguzi yanasainiwa INEC lakini waliomuengua mpina ni Msajili wa vyama vya siasa kwa hiyo hapo tuweze kutofautisha
  2. Silicone

    GE2025 Tume huru ya Uchaguzi yetu imejaa maigizo

    Hivi vijana wa nchi hii ndio mnakuwa slow hivi kuelewa mambo? Kwanza Tume imegawa Magari kwa wagombea wote ili kuweka uwanja sawa wa Kampeni kwa wagombea wote manake sio wote wangeweza kufanya Kampeni kwa Tume imewapa gari na dereva na watawekewa na mafuta muda wote wa Kampeni. Jambo la DED's...
  3. Silicone

    Mpenzi wangu kakubali kukutana kimwili na rafiki yangu

    Umepata ulichokitafuta sasa tatizo liko wapi?
  4. Silicone

    Tundu Lissu ahoji uhalali wa kikatiba wa jina jipya la Tume Huru ya Uchaguzi

    hivi bado kuna watanzania wanamwamini huyu mbelgiji?
  5. Silicone

    PreGE2025 Mubashara Clouds FM: Tundu Lissu, Zitto Kabwe wakichambua Tume Huru ya Uchaguzi

    Hao ni wahuni tu kama wahuni wengine serikali inafanya mabadiliko wao wanakusanyana kubwabwaja bila kutoa majibu tunapaswa kuridhika na mabadiliko yaliyopo ndio tuendelee kudai mengine
  6. Silicone

    CHADEMA chukueni kikotoo kama agenda muhimu ya uchaguzi

    kwa hiyo sera yao ni moja tu kikotoo?
Back
Top Bottom