Hatimaye baada ya kukaa wiki nzima bila kukatika umeme TANESCO wamerudisha yale Matengenezo yao.
Sasa Tanesco tunaomba mtuambie sasa hivi mnatengeneza nini?
Tukutane October 25
Good Afternoon
Early this morning I took a look on my Application Profile cas.tcu.go.tz And I saw a message that request applicants to select 5 programs instead of 1 program as it was before.
This shoked me, and I had to place several calls to get more details.
Recently It was confirmed that...
Good Afternoon
Early this morning I took a look on my Application Profile cas.tcu.go.tz And I saw a message that request applicants to select 5 programs instead of 1 program as it was before.
This shoked me, and I had to place several calls to get more details.
Recently It was confirmed that...
KIU ilikuwa na Matatizo 30 Huku Tatizo Kuu likiwa Kutokuwa na Usajili kwenye Mabaraza ya Taalumu. Tatizo hili liligundulika mara baada ya watu waliohitimu Diploma ya Famasia kunyimwa Ajira na Wizara ya Afya kwa kigezo kuwa Mtaala wa masomo waliotumia haukupitishwa na Baraza la Famasia na NACTE...
Hujui chochote pia juu ya MPP???!!! MPP utasoma hadi English, nk na sio nusu semester tuliisoma semester nzima na kuilipia ada kama tumeeanza Medicine. Mbaya zaidi utafundishwa mengi ya O level... Ingawa baada ya sisi kugoma mtakaoenda mwaka huu mtapata ahueni!!!
Nonsence. Mgogoro wa KIU huujui sababu yake. Ingewa Hatuna Ada tungeacha chuo na kuapply upya, mbona tumeapply tena mwaka huu na wengi tumeenda HKMU na St. Joseph Medicine. Hujui Matatizo ya KIU. Binafsi labda baada ya Miaka 3 KIU ndio kitakuwa Bora... Kwanini usiseme waliorudi chuo walikuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.