Recent content by Silas Samuel

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mataifa ya wenzetu wanakesha wanatafuta scholarship, ajira za kimataifa, network za biashara lakini huku wanakesha wanaskiliza press za Polepole

    Nambie website moja ya scholarship, nambie scholarship yoyote na hata link moja unayoijua Kuongea ni Rahisi Uliambiwa scholarship inatafutwa Kwa Masaa 10😅😅 Masaa 2 yanakutosha ku apply kama Link unayo na ukaendelea na shughuli nyingine Na Kama unatafuta michongo Google Bas You are entirely stupid
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mataifa ya wenzetu wanakesha wanatafuta scholarship, ajira za kimataifa, network za biashara lakini huku wanakesha wanaskiliza press za Polepole

    Bado hujajua deal zote, Biashara zote, na kazi Zote Pengine fahamu hivi Kuna kazi,Shughuli, na deal nyingi zinazokuwa impacted na Siasa na Kila kitu kinacho Husu siasa Dunia ni kubwa... Kuna Mtu anatumia Umbeya Kuingiza Ela,
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Babu Seya inaniumiza sana kichwa

    Mzee yule na mtoto wake walipewa kesi isiyo bila Ushahidi wala vidhibiti vya ushahidi ila Kwa waliofahamu familia ile mwanamke huyo aliekuwa na mahusiano na seya alikuw na mahusiano na mtu mwingine mwenye Nguvu ndio sababu seya alipotezwa Na Magufuli apumzike kwa amani alijua seya hana makosa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Babu Seya inaniumiza sana kichwa

    Babu seya na mwanae walibaka na kulawiti watoto🤣🤣
  5. S

    JamiiForums Tanzania Hakuna Rais aliyefikia hata robo ya viwango vya NYERERE

    Uchumi alifanya nini?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hakuna Rais aliyefikia hata robo ya viwango vya NYERERE

    Swali ni JPM kafanya mangapi ndani ya miaka 5 na miezi 5 hadi akafariki?? Kwa miaka aliyokaa Kwenye Kiti Cha Uraisi JPM hakuna mfano Wake Huo ndio Ukweli ALIHESHIMISHA FEDHA HAPA NCHINI TULISAHAU JERO TUKAITA MIA 5 NA MASKINI HAWAKUNYANYASWA NA MATAJIRI NA VIONGOZI WALIJUA WAJIBU WAO KUTEKELEZA...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hakuna Rais aliyefikia hata robo ya viwango vya NYERERE

    Kaja kama alivyokuja🤣
  8. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tangu Rais Samia atoe mipasho kwa Mpina Jana, Leo kila Mbunge anamwaga Sifa huko Simiyu

    ccm inakazi moja tu nayo nikumsfia mwenyekti wa chama hiko hakuna kingine ndio sababu Mpina alipoongea wananchi tu ndio, waliokuwa wanapiga makofi na samia alipoongea wabunge na chawa tuu ndio waliopiga makofi..
  9. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tangu Rais Samia atoe mipasho kwa Mpina Jana, Leo kila Mbunge anamwaga Sifa huko Simiyu

    wabunge wa ccm wanajali kama wanatatuliwa changamoto zinazo wapata wananchi walio waeka Bungeni? ama Pengine wanajali Zaidi Mshahara posho na rushwa?
  10. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tangu Rais Samia atoe mipasho kwa Mpina Jana, Leo kila Mbunge anamwaga Sifa huko Simiyu

    Hii ni style inayopatikana na nchi zenye viongozi MAFISADI
  11. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tangu Rais Samia atoe mipasho kwa Mpina Jana, Leo kila Mbunge anamwaga Sifa huko Simiyu

    Uliwahi kujiuliza Serekal inatambua mchango Wako? TRA wakupigia makofi ukilipa Kodi au wanakupa Zawadi? HAKUNA MBUNGE MWENYE AKILI TIMAMU ATASEMA ASANTE KWA SEREKAL KUTIMIZA WAJIBU WAO WAKUTOA WANANCHI WANACHOTAKA WATU WEUSI HATUJUI WAPI PAKUSEMA NAOMBA NA WAPI PAKUSEMA NIPATIE
  12. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tangu Rais Samia atoe mipasho kwa Mpina Jana, Leo kila Mbunge anamwaga Sifa huko Simiyu

    what do u mean mpina ameshindwa ku "accomplish" ulitaka kumaanisha mpina ameshindwa kusifia walichofanya serkal kwnye jmbo lake? NIGGA KAZI YA MBUNGE SIO KUSIFIAA SEREKALI INAFANYA WAJIBU KAMA UNAVYOFANYA WAJIBU WAKULIPA KODI... NDIO MAANA MKIPEWA VI TOKEN MNAFURAHI MNASHNDWA KUELEWA TULIPASWA...
  13. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tangu Rais Samia atoe mipasho kwa Mpina Jana, Leo kila Mbunge anamwaga Sifa huko Simiyu

    HILO NENO CHUKI USINGELIONGEA LEO KAMA ANGEMSIFIA RAISI SINDIO ALFU UNASEMA HUJASEMA ASIONGE ILA UNAMAANISHA ASIONGE
  14. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tangu Rais Samia atoe mipasho kwa Mpina Jana, Leo kila Mbunge anamwaga Sifa huko Simiyu

    KWA HIO NI MARA YA KWANZA KUMSKIA MPINA AKIONGEA JUU YA WANANCHI WA KISESA KUTAKA ENENO HILO LIWE WILAYA KWANI LINAKIDHI KUWA WILAYA?? RAISI KAKURUPUKA KUONGEA YALE MANENO ANGETAFUTA KURA KWAKUMJIBU VIZURI UNAHISI MPINA TU NDIO ALIEKUWA ANASUBIRIA JIBU LAKE HADI WANANCHI WA KISESA WALIKUA...
Back
Top Bottom