Matayo 6:16-18
Mafundisho Kuhusu Kufunga
16 “Mnapofunga, msionyeshe huzuni kama wafanyavyo wanafiki. Maana wao hukunja nyuso zao ili kujionyesha. Nawaambieni kweli kwamba wao wamekwisha kupata tuzo yao. 17 Lakini mnapofunga, jipakeni mafuta kichwani na kuosha nyuso zenu 18 ili kufunga kwenu...
hapo vipi👇👇
"I will take you with me" generally means the speaker will accompany the person they are speaking to on an upcoming trip or activity, or that they will include the person in something they are doing. It implies a promise or an intention to have the other person join them.
hapo vipi...👇👇👇
1.Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani(IPU)- Dr Tulia Ackson- Tanzania.
2.Mkurugenzi Shirika la Afya duniani(WHO) Kanda ya Africa- Professor Janabi - Tanzania.
3.Dr. Zarau Wendeline Kibwe - The Executive Director for the World Bank's Africa Group 1.
Hao baadhi ya waliochangia...
👇👇👇👇
wazo liliwasilishwa na katibu mkuu wa TANU wakati ule Mzee Amos Kesenge.. “people of Tanganyika are the ones with thirst and hunger for education. Education is the key in the development of people’s life in this country and for a better national development...
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ni chuo kikuu kikongwe na kikubwa nchini Tanzania. Kilianzishwa mwaka 1961 kama tawi la Chuo cha Chuo Kikuu cha London kwenye jengo la ushirika mtaa wa lumumba, na mwaka 1963 kilikuwa sehemu ya Chuo Kikuu cha Afrika Mashariki (University of East Africa)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.