Recent content by Sijaribu sumu

  1. S

    JamiiForums Tanzania Re:Vyeti Feki kwa Askari Wapi pa kuanzia kuripoti

    Tumia busara wakati unataka kufanya maamuzi ambayo yamebeba watu wengi nyuma.Hivi umewai kujiuliza faida ya maamuzi yako uliyoanza kuyatekeleza? Au pengine umewai kuona watoto wake ambao wanashiba kwa hela ya Baba unayetaka kumuharibia? Ushauri wangu kwako usije kutumia mapungufu ya mtu kwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Re:Vyeti Feki kwa Askari Wapi pa kuanzia kuripoti

    Tunis busara wakati unataka kufanya maamuzi ambayo yamebeba watu wengi nyuma.Hivi umewai kujiuliza faida ya maamuzi yako uliyoanza kuyatekeleza? Au pengine umewai kuona watoto wake ambao wanashiba kwa hela ya Baba unayetaka kumuharibia? Ushauri wangu kwako usije kutumia mapungufu ya mtu kwa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nchi Hii ilijengwa katika Misingi ya Uongo au Misingi ya Imani ya Muasisi?

    Watu ambao ni mabingwa wa kukosoa,pia ndio wadhaifu wa kurekebisha.Tatizo ni wivu tu.
  4. S

    JamiiForums Tanzania kuna watu ni wababe jamani

    tabia ya mtu haina uhusiano na kabila wala dini.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kwa nini maaskofu wanatumia alama ya freemason wakati wa kutubariki waumini?

    Huna research ya kutosha!!!!!!
  6. S

    JamiiForums Tanzania Waislamu wapigwa marufuku kushiriki pasaka

    Huyo mtoa kauli ya kibaguzi amesomea wapi elimu yake ya kislamu? Pengine kasomea katika nchi za Afghanistan,Pakistan ama Somalia.Kwa maana hiyo lazima awe na msimamo anao Amini yeye.Lakini huyu si wakumpuuza ni wakumfahamisha.
Back
Top Bottom