Recent content by Sijali2020

  1. S

    JamiiForums Tanzania Salum Hamdun: Hakuna miundombinu ya reli Kilimanjaro iliyoharibiwa

    RSO na DSO sio na usalama hao....mgambo tu.... Ndio maana wengine wanatutisha kwenye mabaa.. Usalama we talking abt secret service QUOTE="luambo makiadi, post: 34183913, member: 466188"]Hoja finyu,kwan RPC Hana acces na usalama wa Taifa? Hujui kuwa afisa usalama wa Taifa mkoa yupo chini ya...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Salum Hamdun: Hakuna miundombinu ya reli Kilimanjaro iliyoharibiwa

    Sikubishii... kwa tz anything is possible... Wengi wametishwa ili walegee watoe pesa
  3. S

    JamiiForums Tanzania Salum Hamdun: Hakuna miundombinu ya reli Kilimanjaro iliyoharibiwa

    Ma-RSO ni taasisi ndogo ya usalama chini ya Waziri mkuu....Ndio maana wako wazi. Kuna vingi Unaweza kuwa hujuwi
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya Romania: Funzo kwa Rais Magufuli

    Labda kwa vile Makonda ni shabiki wa timu ya simba... ze mbelekoz QUOTE="Kiranga, post: 34174662, member: 13377"]Magufuli kama hapendi ubadhirifu na rushwa, mbona hajamtumbua Makonda alipoingiza fenicha kiujanja akitaka kukwepa kulipa kodi? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. S

    JamiiForums Tanzania Salum Hamdun: Hakuna miundombinu ya reli Kilimanjaro iliyoharibiwa

    DC ana sources tofauti za info. Anaweza kuwa kapata info za kiintelijensia toka Usalama wa Taifa ambapo RPC hawezi jua. Simtetei DC Ila naongeza nyama... Labda aliwasingizia or May be not
Back
Top Bottom