Recent content by sigoboy

  1. S

    JamiiForums Bahati Bukuku amuimbia Lowassa wimbo

    Ni nguvu ya pesa hiyo inapenya hata kwa wachungaji na watu wa kanisa kuubiri kile wanachotaka wenye pesa na neno la Mungu linatiwa kapuni
  2. S

    JamiiForums Tanzania awards $9bn rail projects to Chinese companies

    Dont despise the Chinese even the Tazara was built by them
  3. S

    JamiiForums Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Kwakweli umenigusa sana na wazo lako kwamba muungano uvunjwe na Zanzibar iwe nchi kama Kenya au Uganda halafu tuangalie namna tunaweza kushirikiana kama tunavyoshirikiana na nchi zinazotuzunguka hii ni dawa tosha kabisa ya hili donda ndugu
  4. S

    JamiiForums Askofu Gwajima vs Cardinal Pengo: Polisi waingilia kati

    Gwajima jisalimishe usisubiri kudhalilishwa
Back
Top Bottom