Ninatambua watumishi wa umma mlio wengi mbaishi kwa wizi wizi usio na tija
Sasa huu mwingine ni wizi wa kipumbavu na ujinga mchana kweupe.
Niliona kuunganishiwa maji, saveyor wenu akaja akachora michoro yenu, na akachukua fomu ile na kuiwasilisha ofisini kwenu kibamba na nauli nilimpa.
Baada...
Ili niliwai liandika sana na kuandika sana, lakini nikaonekanika ni kibwengo tu nisiyejielewa, nilidhiakiwa sana na kubezwa
Kitendo cha kuunganisha siku ya kumbukizi ya kifo cha Hayati mwalimu Julias Kabarage Nyerere na siku ya kilele cha mbio za mwenge kitaifa ni kumzalilsh Mwalimu.
Hii ina...
Siamini macho yangu, nilivyowazoea wachanga, realy saa hizi?
Nimeingia supermarket ya rafiki nikanunua bidhaa zangu baada ya hapo, nikasema ngojea unywe hata bia moja kuna kiduka cha nguo za mtumba upande uo up, heeeee sijafikia kwenye hiyo bar,
Walah vichaa wamekataa na kuna lako hasa wakike...
Huyu mzee, hakuwahi kuwa seriaz kbsa yaani akiwa Tudarco alishindwa kuzuia upandaji ada orela uliopelekea watoto wengi wa kike kufutwa ili wamalize chuo
Aliyeuliwa na izraeli mtoa roho amefikisha siku kadha na tumesherekea, wale walio uliwa na mapolisi ccm tarehe 29/10/2025 na kuwazika kama mijibwa tupo busy na matume, uku mkinuka dhambi za ukuaji(mfyuuuu)!
Asante serikali ya mama, tumeona utabiri wenu mzuri. Elininyo imepiga ya kutosha mpaka sasa, na zile bilioni zimeanza tumika vyema, ingawa kanda ya ziwa wamepokea Aluminium rainfall.
Acheni siasa kwa mambo ya kitaalamu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.