Recent content by SIERA

  1. SIERA

    Rais Samia: Uchumi wetu unakua lakini tunachokusanya kingi kinaingia mifukoni kwa Watu

    Hata tukilipa wao wanazifuji na kuziiba.. basi wacha na wengine wasilipe
  2. SIERA

    Breaking News: Maelfu ya Vijana Wakutana Kuunga Mkono Rais Samia na Kuonya Dhidi ya Vurugu Nchini

    Mnooo... nchi ngumu sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  3. SIERA

    Mgomo wa Wafanyabiashara: Biashara zafungwa Kariakoo leo Juni 24, 2024

    Kupigania maslahi yao ni kutumika nawanasiasa?!! Hayo madai yao walitumwa na wanasiasa?!
  4. SIERA

    Kuanzia Julai 2024 watumishi watakuwa busy kujaza PEPMIS. Mnaotaka huduma ofisi za umma kazi mnayo

    Ndio kitu gani?! Sio wote waajiriwa Jamaniwa serikali mtueleze[emoji23]
  5. SIERA

    Fahamu kumi bora ya makabila yanayoongoza kushirikiana katika shida na raha

    Umesahau PPF wewe!! Ilikua panaitwa kwa wanyakiyusa
  6. SIERA

    Muda wa kawaida wa tendo la ndoa ni dakika 3 mpaka 7, fantasy zinaua mahusiano na ndoa za watu

    Ndio Sayansi ya mapenzi iko hivyo ik wengi hawalielewi hilo, wanafikiri mwanamke ni mtu anaweza kulainika kwa mwanaume yoyote tu kisa umemchezea[emoji3] Sio kweli , mwanamke hisia zake kwako Ndio zitakufanya na wewe uenjoy akiwa hana hisia na wewe hata iyo game utaiyona ya hovyo
  7. SIERA

    Muda wa kawaida wa tendo la ndoa ni dakika 3 mpaka 7, fantasy zinaua mahusiano na ndoa za watu

    Sio kwamba ute umekauka ni kwamba hawana hisia na wewe kwako wanataka pesa tu, mwanamke mwenye hisia na wewe analowa sekunde tu
  8. SIERA

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

    So wanaompenda samia hawakuruhusiwa kupiga kura Au una maanisha nini?!!
  9. SIERA

    Askofu mkosoaji wa uislamu avamiwa na kudungwa kisu katikati ya ibada

    Kama bile Mungu yesu alivyoshindwa kujiokoa akapigwa na watu alowaumba mwenyewe na kilio juu alilia[emoji419][emoji1787][emoji419][emoji23][emoji23] haya ni maajabu jamani!! Yasni uache kushangaa mungu yesu ukashangae waislam mzima kweli wewe!!!
  10. SIERA

    Baadhi ya ndugu wauza nyumba ya familia Kariakoo iliyokuwa na waqfu. Mapanga yatembea nje nje

    Sasa wao wanashindwa kuwauliza wapangaji wao?! Mbona ni jambo dogo tu?!!
  11. SIERA

    Ali Happi ni kijana asiyejifunza kutokana na makosa. Ilitakiwa ajifunze kipindi kile cha Mzee Kinana, akarudia makosa tena kwa Chongolo

    Makosa gani ya ajabu alifanya!!? Mbona mnapenda kuhukumu watu kwa vitu vidogo sanaaa?!! Zile ni siasa kama siasa zingine tu yeye sio wa kwanza wala wa mwisho.. Bashe alimtukana kikwete waziwazi bado kuna kina chalamila yeye tena alisema Makamo anaweza kua mchawi akamroga Rais hapo unahisi...
Back
Top Bottom