Ukiwa unashuka ni kumuonyesha ile meseji yeye atajiridhisha kuwa ni wew then anakupa lisit yako kwan kwenye mfumo inakuwa kashakuon muda kuwa umelipa kithibitisho ni meseg yak basi yenye tarehe siku na saa pia
Habar zenu wanajamvi
Kwa Mara nyingine natoa ushauri kwa serikali japo wapo pale kwenye madaraka wachukue ushauri wangu kuhusu swala la elimu.
Nasisitiza elimu ndio kila kitu katika maisha haya ya mwanadamu niende moja Kwa moja kwenye mada ningependa tubadili mtaala wetu wa elimu ya kukariri...
Ni jambo dogo tu kutoa elimu ya kutosha kwao then wataenda na mfumo maan hap ni swala la mtandao nazani watakao fanya kazi wengi watakuwa waelewa na huu mfumo utakuwa madhubut inamaan makonda na madereva itakuwa wanamikataba yakazi rasmi ndio maana wanawepo kwenye mfumo wa data pia ikitokea...
Mazingira yapi brother unaweza ukaelezea ulitupate ufumbuzi na upembuzi tukijadili kwa pamoj kwa sababu kila kitu kina faida na hasara zake so tunachofanya tunaangalia faida ndio nying Zaid au hasara ndio zmezid so tupo kwenye kupatia ufumbuzi jamii yetu
Habarini wanajamvi niende moja
Kwa moja kwenye mada kutokana na kadhia tunayopata abiria kwenye daladala hususan pale daladala linapokua limejaa kunakuwa na ugumu wa konda kukusanya nauli hali inayopelekea kupoteza kwa mapato kutokana na janjajanja ya baadhi ya abiria kukwepa kulipa nauli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.