Recent content by SIDEMKAMILIFU

  1. SIDEMKAMILIFU

    JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki wa kuchati nao

    Natafuta marafiki wa kike wa kuchati nao, ila urafiki ukija na nia yako nyingine haitapokelewa. Kama uko tiyari nitumie contact inbox. Thanx
  2. SIDEMKAMILIFU

    JamiiForums Tanzania Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    Jamani nina ndugu yangu kachaguliwa kujiunga BWIRU GIRLS. Kwa hiyo naomba msaada jinsi ya kupata join intstruction
  3. SIDEMKAMILIFU

    JamiiForums Tanzania Changamoto

    Mapenzi ni pesa maua wapelekee nyuki watengeneze asali, mana hakuna mapenzi ya machozi kwenye dunia ya utandawazi hata hulie debe la machozi haliwezi kumnunulia smartphone.
  4. SIDEMKAMILIFU

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi

    natafuta mpenz msichana, elimu c kigezo ila awe na umri ucozd miaka 23 na c pungufu ya 18, lakn pia awe na mapenz ya dhat anayewiwa kuwa na mm antafute 2ongee private.
  5. SIDEMKAMILIFU

    JamiiForums Tanzania Nimechoka na wapenzi wa kwenye mtandao

    nashkuru walioshaur vzur bt nawakemea wot waliotoa ushaur utafkr hawashrksh ubongo
  6. SIDEMKAMILIFU

    JamiiForums Tanzania Nimechoka na wapenzi wa kwenye mtandao

    mbona hasira
  7. SIDEMKAMILIFU

    JamiiForums Tanzania Nimechoka na wapenzi wa kwenye mtandao

    Na nliowapata mwanzo walikuwa na ahad tele mara et wakinywa maj wananiona kwenye glas sa najiulza m jn kumbe waongo wakubwa uktaka kuamn kuwa waongo andka kuwa unafanya kaz TRA au bank watakupgania. weng wako after money
  8. SIDEMKAMILIFU

    JamiiForums Tanzania Nimechoka na wapenzi wa kwenye mtandao

    Mi nimechoshwa na wasichana wa humu mtandaoni mana wa kwanza alikuwa mwizi, wa pili alikuwa malaya wa kutupwa ,wa tatu mpenda hela ka amezaliwa kwenye ATM wa mwsho ana majini m nasubr wa kunifuata home c hum nmechoka.
  9. SIDEMKAMILIFU

    JamiiForums Tanzania Naomba majibu yenu wana jf

    nini uhusiano uiopo baina ya fasihi na jamii ukitumia angalau vitabu 2 vya riwaya?
Back
Top Bottom