Kweli kabisa, michezo ya ngumi ina changamoto nyingi, hasa katika kuhakikisha ubingwa unapatikana kwa haki na juhudi za kweli. Hata hivyo, ni muhimu tusikubali changamoto hizi ziharibu maadili ya mchezo. Kujadili na kukosoa kwa kujenga ni hatua ya kwanza ya kufanya mabadiliko mazuri kwa manufaa...
Asante kwa mchango wako. Lengo langu halikuwa kushusha juhudi za Mafia Boxing Promotion bali kuonyesha umuhimu wa uwazi na ushindani wa kweli katika tasnia ya ngumi. Ni changamoto kubwa kuwafikisha mabondia kwenye kiwango cha dunia, lakini tunahitaji kujifunza kutoka kwa mapromota wengine...
Katika muktadha wa Mafia Boxing Promotion na matokeo ya mapambano ya hivi karibuni,
kuna maswali na kashfa ambazo zinapaswa kujadiliwa kwa kina. Kuna hoja nzito kwamba Mafia Boxing Promotion inawazalisha mabondia kwa njia isiyo ya haki, ama kwa kuwaweka kwenye pambano dhidi ya wapinzani wasio...
Mdahalo kama huu unalenga zaidi kutoa maarifa na kuelezea tofauti na mfanano kati ya Mitume hao wawili kwa mujibu wa maandiko ya kidini. Ni nafasi ya kujifunza na kuelewa mtazamo wa dini tofauti, si lazima iwe "kupambanisha" imani, bali kujenga maelewano na elimu.
Kuhusu maswali yako:
Kwa...
Ninaandika ujumbe huu kupinga vikali wito wa kufungwa kwa mtandao wa X (zamani Twitter) unaotolewa na baadhi ya viongozi wa dini na Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM). Ninaamini kufungia mtandao huu sio suluhisho bora kwa changamoto za maadili tunazokabiliana nazo kama...
Hivi umegundua watoto wengi siku hizi ni wagumu sana kusalimia mtu. Yani wamjue, wasimjue, ni mpaka mzazi amwambie salimia anko, salimia anti.
Bila hivyo!
Vinauchuna kama kichuguu. Morals zilienda na mafuriko. Wazazi tufungue macho, Masikio na midomo.
Katika ulimwengu wa leo, tunashuhudia kizazi kipya cha vijana waliozaliwa miaka ya 2000 wakikumbana na ukosoaji mkubwa kutoka kwa jamii. Mara nyingi wanatuhumiwa kuwa na matatizo mbalimbali kama vile UTI, uchafu, kupenda pesa, na kuonekana wajuaji. Swali kubwa ni: Je, wanatakiwa waishi kama watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.