1. Mwenendo wa bunge lililopita ambao wananchi wengi walikuwa wakilalamikia, maamuzi ambayo hayakuonesha uzalendo. Lugha chafu, matusi na vijembe.
2. Ukwepeshaji wa mambo wakati wa bunge maalum la katiba. Mambo ya msingi ambayo yangeweka misingi ya uwajibikaji, utawala wa sheria, kupunguza...