Recent content by sicco

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mwampamba/Musiba: Kama kweli wewe ni 'public figure' tweet, usijiokoteze maneno mbele ya media.

    Kama wanaongelea ishu zibazohusu watu sioni ubaya, tweet inategemea na anaetoa ujumbe upendeleo wake. Tatizo la nchi hii ni siasa za maji taka, hata kama mtu anaujumbe nzuri atapondwa shida tu yupo upande Wa pili.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Jicho la 3 - Ya Sokoine na Lowassa yanafanana sema JK aliogopa kwenda mbali !! Sikio halizidi..li

    Umenikumbusha zito na chacha walipotaka uenyekiti wa chama demokrasi hii story ya kichwa na sikio kama ni ya kweli basi ilihusika.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Jicho la 3 - Ya Sokoine na Lowassa yanafanana sema JK aliogopa kwenda mbali !! Sikio halizidi..li

    Umenikumbusha zito MA cha-cha walipotaka uenyekiti wa chama demokrasi hii story ya kichwa na sikio kama ni ya kweli basi ilihusika.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete alikuwa anaajiri kila mwaka, yeye alitoa wapi hela?!

    Hata waliomwita JK dhaifu wanauliza swali hili hili.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Swali: Baada ya jiji la Mwanza mji upi unafuata kwa ukubwa kanda ya ziwa?

    Mtoa uzi jiografia imekupiga chenga, serious Tabora ipo kanda ya ziwa?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Salary Slip Portal: Mfumo mpya unaoweza kumsadia mfanyakazi kuprint salary slip zake

    Huku paka wa mistari miekundu na nyeupe hachangii, anasubiri uzi wa sugu.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Rais Magufuli azuia kaya 1,900 kuondolewa uwanja wa ndege

    Kihoro kitawauwa
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mabankers Tusaidieni: Je, Commissioner General wa TRA ana Mamlaka ya Disclosure Details za Account ya mtu?

    Alimwaga mboga wenzake wanamwaga ugali. Safi sana.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awapongeza wabunge na madiwani wateule,awahimiza kufanya kazi kwa uadilifu

    Mtakalia hayo hayo mpaka mnazeeka maisha yanaendelea chaguzi zinasonga. Maisha ndio hayo chadema inastawi sikuzote yanapotokea mauaji ndio inasimama na kuanza tuhuma ooo mmeua serikali gani, mauajiayangetokeaje bila maandamano uchwara. Shame chadema.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awapongeza wabunge na madiwani wateule,awahimiza kufanya kazi kwa uadilifu

    Hakuna na mna, ukikwepa kodi unategemea nini, ni kipigo tu.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hafanyi kazi kwa kushinikizwa, wanaodhani Mwigulu atajiuzulu mmegonga mwamba

    Acha kutumia mandiko matakatifu kwa upuuzi wako.
  12. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wazungumza na Wanahabari kuhusu Mwanafunzi aliyeuawa na jinsi Mbowe anavyotafutwa na Polisi

    Muacheni mtulia apumzike, mnadhani propaganda za kutumia vifo mmeanza leo, hamzungumzii kushindwa kwenu mnatafuta kwanza huruma kwa kivuli cha msiba
Back
Top Bottom