Recent content by siasa ya maendeleo

  1. siasa ya maendeleo

    FOREX

    Thanks kwa wote ambao mmeonyesha nitafuteni kwenye hii email mtume na no za simu ili tuanze, happybensignals@yahoo.com
  2. siasa ya maendeleo

    FOREX

    Na pia ukiwa intrested weka no ya simu nitakutafuta
  3. siasa ya maendeleo

    FOREX

    Habarini wadau, mimi ninafanya biashara ya forex. Ukweli ni kuwa biashara ya forex ni biashara ngumu na 75% to 90% ya forex traders huwa wana fail. Sasa kwa kuwa saidia watanzania wenzangu mimi nimeanzisha biashara ya kutuma signal kwa bei ya 30,000 kwa mwezi. Nitakuwa natuma kila siku signal...
  4. siasa ya maendeleo

    Kwa mtu yeyote anaehitahi signal ya EURUSD kwenye forex

    Jamaa hapa ka coment kuwa hakuna mtu aliyefanikiwa kwenye biashara ya forex ukweli ni kuwa 75% to 90% ya forex traders huwa wana fail lakini hii haimanishi ni wote, Najua pia wengi watapinga, ni tatizo la watanzania tulio nalo wengi hatupendi mafanikio ya wengine, ukihitaji mimi nitakuwa...
  5. siasa ya maendeleo

    Kwa mtu yeyote anaehitahi signal ya EURUSD kwenye forex

    Habarini wadau, mimi nafanya biashara ya forex, kwa mtu yeyote anaehitahi signal ya EURUSD kila siku naweza kuwa namtumia, signal yangu katika siku tano za wiki success rate yake ni 4 or all five days of the week. Gharama yangu ni shilingi elf 30 kwa mwezi, kwa yeyote anayehitaji reply na uweke...
  6. siasa ya maendeleo

    Vifaranga vya kuku 6,400 vyateketezwa kwa moto baada ya kukamatwa vikiingizwa nchini kinyume na sheria kutoka Kenya

    Kama ni kweli huu ni ujinga wa hali ya juu, nathani bunge linatakiwa litunge sheria za kulinda viumbe hai, isiwe tu wanyama pori. Mtu kama huyu anatakiwa afungwe miaka hata mitano ajifunze kuheshimu viumbe vya Mungu. Mungu aliumba kwa siku sita akasema ni vyema tena vyapendeza halafu mtu...
  7. siasa ya maendeleo

    Wahalifu wasiojulikana wataachwa mpaka lini?

    Ni kweli biblia inasema "kama mwenye haki atalipwa hapa duniani muovu si zaidi" nawaambia kuwa hakuna thambi mbaya kama kumwaga damu, lazima tu Mungu ambaye kiti chake cha enzi kinakaa katika misingi ya haki na hukumu atakulipa tu, kama kina sadan, gadafi, samuel doe waliojulikana duniani kote...
  8. siasa ya maendeleo

    Hatimaye Tundu Lissu ameweza kuongea akiwa Hospitalini; '"Mwenyekiti, I survived to tell a tale, Please keep up fighting"

    Safi sana, waliotaka kumwua wakome na wapate malipo sawa ma stahiki zao maana malipo yote huwa ni hapa hapa duniani.
  9. siasa ya maendeleo

    Padri Mapunda: Wapinzani sio maadui, Mfalme Suleimani hakujifanya Mungu mtu. Magufuli ajifunze

    Baada ya Baba wa taifa mwanasiasa anayependwa zaidi tanzania ni tundu lisu. Hili limeonekana kwa jinsi Jamii ilivyoguswa kutokana na jaribio la kumuuwa na watu kila kona ya nchi walivyokuwa wamehuzunka
  10. siasa ya maendeleo

    Petition ya Katiba mpya, Mahakama Huru...

    Naunga mkono hoja, kwa kweli tunahitaji katiba mpya na mahakama huru, bila hivyo tutaonewa sana
  11. siasa ya maendeleo

    Serikali isiache kuhusishwa na Jaribio Dhidi ya Lissu; Ijisafishe!

    Mtu mmoja humu unaitwa mingoni , acha kumkufuru Mungu unamwitaje Roho mtakatifu pepo? Tubu mara moja, au sivyo uutaandamwa na laana.
  12. siasa ya maendeleo

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Aisee tumefikia pabaya, nakuombea lissu mpigania haki ya watanzania Mungu akuponye.
  13. siasa ya maendeleo

    Nape Nnauye: Nikisema haya naonekana Mkorofi

    Nape kaongea ukweli, ila alitakiwa aanze kuwa mzalendo tangu akiwa katibu mwenezi
  14. siasa ya maendeleo

    Mbowe: Rais Magufuli ndiye rais wa pekee Tanzania atakaekaa madarakani kwa kipindi kimoja

    Katika kambi ya ukawa Lissu anafaaa zaidi maana amekuwa hodari na haogopi mtu katika kutetea haki za watanzania kipindi hiki ambacho watu wanatishiwa na katiba inavunjwa
Back
Top Bottom