Kabla ya maisha yangu kufichwa ndani ya Kristo katika Mungu nalikuwa mtu wa namna zaidi ya hiyo hasira,chuki,kukataa maonyo,kutokukubali kukosolewa na Mambo mengi ya namna hiyo.
Lakini kwa sasa ni historia uniseme,unitukane,unidhihaki,unisingizie uongo,unionye hainiumi na hainisumbui Kama...
Watu wa Tanga hii isiwasumbue hata kidogo,ishini katika nyumba zenu kwa utakatifu na kutenda haki Kati ya ndugu na majirani zenu wa mikoani
Kwa maana siyo nyumba peke yake zinazojengwa Kwa udongo bali hata miili yetu iliumbwa Kwa udongo.Kwahiyo ukiidharau nyumba ya udongo umeudharau mwili wako...
Nikiangalia posti zangu,quotes na reply zangu za nyuma na quotes za nyuma huwa na shaangaa sana Kama ni Mimi,
Kristo amenibadilisha sana,atukuzwe Mungu aliyemtumia Kristo aje kuiharibu na kuikanyaga historia yangu mbaya.
2 Wakorinto 5;17
Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe...
Mtumishi wa kiroho kwenda hospitalini kufanya miujiza na kuponya?
Huko ni kuingilia taaluma ya madaktari,uhuru wa mgonjwa kwasababu mgonjwa anatakiwa atibiwe katika namna ya utulivu.
Hata hivyo miujiza inatumika kama Ishara kwa mtu asiyeamini,sana sana ilitumika na inatakiwa itumike...
Kwanza nakubaliana na wote walichangia mada
Nafikiri ni kwasababu ya
1)Nguruwe hawafugwi kwa wingi kama ng'ombe na mbuzi,kwahiyo hao soko lao linaishia majumbani tu.
2)Dhamiri.
Ukichanganya nguruwe na wanyama wengine kwenye biashara au sokoni tegemea kukosa wateja wa Imani Fulani na hii...
hapo kwenye wenyeji ni uraia/citizenship,,IPO hivi hapo kuna kitu kinaitwa ufalme wa mbinguni
Tulipotawaliwa na waingereza kwamfano tulikuwa ni raia wa ufalme wa uingereza japokuwa tulikuwa mbali na uingereza kama koloni Lao.
Haina maana ya kwenda mbinguni kuishi Bali sisi ni raia wa mbinguni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.