After kusoma posts na threads nyingi humu jf nimefika conclusion kuwa watanzania wengi hawako upande wa madaktari..it may be coz wengi wamepata experience zao tofauti mahospitalini and all that.wengi pia hamjajua zile hoja za madaktari za msingi..wengine mnaongea tu kwa hasira..
Wengi wetu humu...
he is not a medical doctor..ana phd..kasoma mzumbe university..alaf akafanya phd..usiongee bila facts....tafuta cv kwa wadau...madaktari wanafahamiana sana..
Jaman Stephen Ulimboka ni daktari..kamaliza chuo 2004 na intern kafanyia muhimbili..alikuwa moja wa viongozi wa mgomo wa 2005 wa kupandisha mshahara wa madaktari from 138,000tsh to 400,000..alisimama mpaka dakika ya mwisho na akafutiwa leseni ya kazi as a result..becoz of vitishio vya the same...
Huyo mama aliwaambia madaktari walivyoenda kuongea na PM mara ya kwanza akawauliza kwanini hawakusoma accounts...mana udaktari hauna hela..akasema madaktari hawana confidence na hatuwezi kugoma....kauli mbaya sana na watu wengi waliosubiri majibu siku ile don bosco mpaka saa 5 usiku waliumia
serikali ilitakiwa iwe na busara itusikilize..sasa angalia..huduma za dharura zimesitishwa.......na manesi wametangaza mgomo rasmi as of 15mins ago...sasa unaona..dr wetu wa dodoma wamemfunga...jaman
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.