Recent content by Siande

  1. S

    Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

    Huku arusha mabaro ya watoto ya grade one mixture ni kuanzoa 700,000/=
  2. S

    Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

    mbege hata dar es salaam ipo mbona
  3. S

    Dr. Slaa, anzisha chama kipya cha siasa (Advice to Dr. Slaa in public)

    mgombea wako magufuli kasema ataanzisha mahakama ya majizi na mafisadi dr mihogo haitajiki kwa sasa
  4. S

    GE2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

    chilumba tv za mlengo fulani ni starccm na tbcccm
  5. S

    GE2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

    umeona huruma anayopata wspiga kura wamemwonea huruma na kumpa kura. tbc yavtaifa wakati huu wa uchaguzi kweli wanashindwa kutuhabarisha angekuwa anaongoza magufuli si wangekuwa wanarusha? shame on themhakuna haja ya kuwepo. walirusha sana matangazo ya kampeni kwa ubaguzi kumbe watz wsmewapuuza...
  6. S

    Ni aibu na kwa kijana aliyemaliza Chuo Kikuu kupigia chama kisichomsaidia kwa lolote

    kura yangu kwa EL na ndugu zangu na familia yangu hakuna mjadala
  7. S

    Ni aibu na kwa kijana aliyemaliza Chuo Kikuu kupigia chama kisichomsaidia kwa lolote

    kuchagua haramu ambayoni ccm ni sawa ma kujitoa ufahamu
  8. S

    Ni aibu na kwa kijana aliyemaliza Chuo Kikuu kupigia chama kisichomsaidia kwa lolote

    ccm ndo inajulikana kimataifa kwa ufisadi siyo lowasa.
  9. S

    Ni aibu na kwa kijana aliyemaliza Chuo Kikuu kupigia chama kisichomsaidia kwa lolote

    ni laana kuchagua chama ambacho miaka hamsini kimeishia kuzalisha mafisadi tuu .huyo fisadi kafanya ufisadi na nanii. unataku kutuaminisha kuwa lowasa ndo fisadi tuu huko fisiemu na huo ufisadi alifanya na nani? watakuelewa tuu wenye akili za mkia wa mbuzi kama wewe ila kwa wasomi kama sisi...
  10. S

    Hotuba ya Kikwete imeharibu kabisa ufungaji wa kampeni za Magufuli

    unamlinganisha kagame na viongozi wa ccm. miaka kumi bila rais
  11. S

    Edward Lowassa aongea na Watanzania; aahidi Katiba Mpya itapewa kipaumbele - Oktoba 23, 2015

    angepewa na jk si hii nchi ingekuwa marekani saa hizi
  12. S

    Edward Lowassa aongea na Watanzania; aahidi Katiba Mpya itapewa kipaumbele - Oktoba 23, 2015

    huyu lizaboni mjingamjinga tuu wanaokusikiliza kwa pumba zako ni wajinga zaidi yako ila kwa tunajielewa hauwezi kumbadilisha mtu hata kijiwe cha viroba huwezi badili kitu. sijui kama unakipenda wewe mwenyewe maana mtu unayejipenda huwezi huwezi kutokwa na uchafu hivyo baada ya 25 oct ujifanyie...
  13. S

    Edward Lowassa aongea na Watanzania; aahidi Katiba Mpya itapewa kipaumbele - Oktoba 23, 2015

    Mwacheni Mungu aitwe Mungu haya mambo yanapita na tutaendelea na maisha. Mungu amewaaibisha sana awamu hii mmesubiri mgonjwa aanguke mpate kisingizio lakini kwa kuwa alianza na Mungu na atamaliza na Mungu. mbona wengine walipotea siku kadhaa bila taarifa hamkuhoji? acheni kuhukumu wenzenu...
  14. S

    Kijijini kwetu nimekuta mabadiliko ya kimaendeleo

    sisi kule kwetu ccm wanapita kama wafiwa. nimejaribu kumuuliza ndugu yangu ambaye hana maslahi na cha chochote akaniambia huku ccm wanatia huruma wanapita kama wafiwa hakuna mtu anataka kuwasikia. huko ni kijijini siyo mjini
Back
Top Bottom