Waziri wa tamisemi juzi alitangaza kuwa wako katika hatua za mwisho kuajiri watendaji wa kata zaidi ya 500.
Naomba Kwa anaefahamu mchakato wa kuwapata hao watumishi ukoje?
Maana sikuwahi kuona nafasi hizi zikitangazwa kama AJIRA zingine.
Nishauri kama kijana ninaetamani, nami sikumoja...
Wadau naombeni msaada wa maelekezo, kwasasa nashindwa kabisa kushare doc za pdf, camscanner n.k via whatsap, tayari nimefanya update kwa application zote ila bado changamoto bado.
Naomba msaada nifanye nini?
Kwamba unaruhusiwa kuua ukiwa unatetea haki! Kabla ya maujinga mengi ujinga wa kwanza ni huu.
Hii dini Mungu wao ni wa kusaidiwa/kupambaniwa, yani mtu akichoma quran et ukimuua unapata thawabu, kwanini kama mnakiamini hicho kitabu msimwache mwenye kitabu mwenyewe akipambanie!
Mungu wa wakristo...
Naunga mkono hoja, ajira ukiiomba huku una kitu kinachoendeleza maisha yako inaleta tija zaidi kuliko kuwa muomba ajir tu usiyetafuta kupambana na harakati zingine za kitaa.
Course gani?? Kama ni ualimu au afya Hilo sio kosa la serikali ni uzembe wako mwenyewe, maana huko nyuma ajira kwa sector hizo alikuwa haachwi mtu tatizo limeanza 2015, hivyo wanaopaswa kulaumu humu kutokana na jina la uzi ni hao wa kuanzia mwaka huo na mimi nikiwemo ambao mpaka sasa tuna miaka...
Ushauri mzuri, ila binafs kwakuwa nmepitia uzoefu huo na mpaka sasa naendelea kukomaa kitaa, siwalaumu vijana kukomaa na ajira za serikali wako sawa kabisa tuwatie moyo.
Uhalisia wa kitaa ni mgumu sana, hata mwenye jitihada(bidii) kabisa anakwama kupata hata kibarua cha kupakiza tofali kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.