Recent content by shygal

  1. shygal

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa!

    bahati iliyoje?nami pia niliachwa ila mm ni mnywaji sana wa pombe,mambo mengine tutayarekebisha tu ni pm tumalize utata.
  2. shygal

    JamiiForums Tanzania Ho ho ho ho di

    kakakarriiiiiiibuuu sasaaana JF.
  3. shygal

    JamiiForums Tanzania Kubadili matokeo IV 2012: Prof. Mukandala aivimbia serikali!

    kama mwl mstaafu hili tamko la kurekebisha matokeo haliniingii akilini kabisa,ila kwa vile liko kisiasa zaidi nawatakia kila la heri.
  4. shygal

    JamiiForums Tanzania Ivi nilikuwa sahihi kumpiga kibuti huyu dada au nilimuonea?

    ww umesema anauza duka la dawa,ss moja ya bidhaa anazoziuza ni condom kwa mawazo yangu naona hakuwa na nia mbaya kwani atakuwa ameenda kuongeza stock ya condom ktk duka lake.
  5. shygal

    JamiiForums Tanzania kimyakimya!

    karibu JF
  6. shygal

    JamiiForums Tanzania Nimechungulia sana lakn nikaribisheni wakuu!!

    karibu JF.
  7. shygal

    JamiiForums Tanzania Konichiwa!

    unakaribishwa sana.
  8. shygal

    JamiiForums Tanzania Hellow

    Nashukuru kwa hilo.
  9. shygal

    JamiiForums Tanzania Hellow

    Mijadala yenu imenivutia kujiunga nanyi.
Back
Top Bottom