magufuli hajui kutofautisha kati ya kugombea urais na mieleka .yeye anafikiri kupiga push up kunamfanya apate kura ata akivuta jiwe kwa kutumia kidudu hatudanganyiki tunataka mabadiliko.ka vp aende kwa joncena akapige push up.mh si ajabu kwa joncena ataleta siasa
ccm ni ukoo mchafu ambao hauwezi ukasafishwa na mtu mmoja uyo mmnaemuamini kuwa ni msafi.kama bb babu mama baba n wachafu lazima mtoto wao watakuwa wachafu.nakushauri achana na akili yako mgando
unategemea kwamba uyo dada atajitongozesha kwako .wadada wengi ni ngumu sana kufanya ivo hata kama anakupenda .kama unampenda mwambie kukataliwa ni kawaida sana unakubali matokeo unajaribu kwa mwingine. unavoendelea kumtegea uyo mdada unapoteza mda wa kupata mtu mwingine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.