Recent content by SHURU

  1. S

    Mtoto wa seremala ni dhahabu iliyo mchangani CHADEMA iokoteni.

    Nimefurahi sana leo kumuona Nicholaus Ngowi maarufu kama mtoto wa seremala akilaani kodi ya line za simu kupitia ITV. Mara ya mwisho kumuona nilimtembelea Mwananchi hospitali Mwanza mwezi wa pili alipokuwa amelazwa baada ya kupata ajali akiwa kwenye shughuli za ujenzi wa CHADEMA. Nimefurahi...
  2. S

    CHADEMA: Msimtupe kamanda Ngowi

    Wiki iliyopita niliweka hapa jamvini hali ya mpambanaji Nicholaus Ngowi maarufu kama mtoto wa seremala ambaye alipata ajali jijini mMwanza akiwa kwenye shughuli za ujenzi wa CHADEMA KWA KUJITOLEA.u kamanda Ngowi anatakiwa kufanyiwa upasuaji wa mguu kwani umeharibika sana. Naendelea...
  3. S

    CHADEMA-Msaidieni huyu

    Kwa taarifa nilizozipata mda huu ni kuwa kamanda Ngowi kapewa rufaa aende KCMC
  4. S

    CHADEMA-Msaidieni huyu

    Ni ukweli usiopingika kuwa wapo vijana wanaojitoa katika ujenzi wa CHADEMA kwa gharama zao na muda wao pasipo kutegemea kulipwa. Moja kati ya vijana hawa ni Nicholaus Ngowi wengi tukimfaham kama mtoto wa seremala.Huyu ni yule ambaye Lukuvi alimwita Lema alipomuuliza maswali live star tv...
Back
Top Bottom