Recent content by Shummy

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna chuo kinachotoa elimu ngazi ya PHD?

    Tatizo ni tafsiri ya neno NGAZI. Hakuna University inayotoa elimu ngazi ya PhD. Zinatoa elimu KIWANGO cha PhD. Kumbuka NGAZI= Steps/Stage/Scale/ or 'daraja' KIWANGO= Level/Grade. Kwa hiyo BSc, MSc, PhD etc = levels (viwango)
  2. S

    JamiiForums Tanzania TCRA mpo? Naomba ufafanuzi kuhusu kipande kilichorushwa na Star Tv mara tu baada ya habari

    Wapenda mabadiliko acheni kununua ving'amuzi vyao viitwavyo CONTINENTAL na walionavyo waache kuvilipia. Tumieni ving'amuzi vya makampuni mengine. Maamuzi hayo yatakuwa ni fundisho kwa Star tv. Ndio watajua kuwa watu wako serious.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Bulembo ni Kituko cha Mwaka

    Jaribu kufafanua,anaelimu gani? kama itawezekana tuwekee cv yake maana kauli zake ni za ajabu sana !!!!!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ajibu hoja ya JF kuhusu Meli Mpya Ziwa Victoria

    Kama wanavyojitangaza wenyewe ''CCM NI ILE...ILE.....!!!!. Hivyo watanzania tusitegemee mabadiliko yoyote kama ccm itarudi madarakani.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa awatakia Idi Mubaraka njema Waislam na Watanzania

    Ahsante kwa hizo taarifa nzuri.
Back
Top Bottom