Dah we jamaa nae pasua yani unasema kabisa confidently waafrika hakuna kitu kipya tutafanya alafu unajicheka kabisa
Umesahau kuna wakati africa na ulaya kuna wakati karne kadhaa nyuma zilikua same level of development na kuna vumbuzi kibao zilikua zimeshafanyika africa ikiwemo Egypt, Ethiopia...
Me sioni ata mantiki ya kujadili
Kwani Ccm wanafanya maandamano or mkutano wa hadhara iyo Dodoma ? Ni Mkutano Mkuu wa Chama...je vyama vingine vimezuiwa kufanya Mikutano Mikuu au ni kawaida ya watu tu kusema?
Lofa katika ubora wako
Kweli mwaka wa malofa huu
Watanzania bado sana vipi kuhusu Africa na dunia nzima kukubali utendaji wake?japo ni chini ya mwezi mmoja ofisini.
Acha ulofa Ccm walinunua mda Star tv na walichosema ni Kumshukuru Diallo kwa kukubali kuwauzia mda wa kutosha kurusha kampeni zao kwani kuna watu walikua wanatumia pesa ili ccm wasisikike kabisa au wapate mda mdogo wa kuwa hewani kwenye Tv na Radio jambo ambalo Star Tv walikataa na kukubali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.