Watu wanaojitambua wanajua kwamba CHADEMA ni taasisi ,imesajiliwa kama taasisi na inaendeshwa kama taasisi nyingine zozote unazozifahamu hapa nchini na nje ya nchi, Mbowe kuwa mwenyekiti haimaanishi kwamba anamamlaka na kila kitu wale wasio elewea nawaomba warudi wakasome katiba ya CHADEMA na...
Safi sana mwaka huu hakuna kulala mpaka kieleweke,hongera kamanda Mdee kwa kuzindua kitabu,hakika unatosha Kawe kupeperusha bendera ya ukawa ktk uchaguzi wa mwaka huu.
Mwiguli alifundishwa na Dr.Likwilile pale UDSM,leo hii Nchemba ni Waziri na Dr.Likwilile ni katibu mkuu wa wizara ya fedha ninaamini dr ataendelea kumsaidia kijana wake ktk ushauri wa kitaalam ili atekeleze majukumu yake vema
Maadui wa cdm wanaweza kutumia huu mgogoro kwa kutenda matendo maovu na kusingizia eti ni makundi yametumwa na viongozi wa cdm.Hakika mbinu zenu hazitafanikiwa na watanzania hawadanganyiki kwa hila hizi nyepesi,cdm ndio mpango mzima,wanyonge hukimbilia wapate ukombozi wa kweli.Viva cdm! "Mungu...
CDM tumeanza na Mungu na tutamaliza na Mungu,hakuna mpango wa wasaliti utakaofanikiwa haya yanayotokea sasa ni mawimbi tuu lakini Cdm itavuka salama na itakuwa imara zaidi
Chadema itajengwa na vijana wazalendo wenye muono wa mbali,na vijana walio choshwa uonevu wa magamba kwa WaTZ tangu uhuru.Mimi mwanzo nilimkubali sana Hm.Mchange hasa baada ya uchaguzi mkuu wa 2010,kwa jinsi alivyo peperusha vema bendera ya CDM pale kibaha,lakini kwa hili la kuwadharau viongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.