Recent content by Shukurani

 1. Shukurani

  Dk. Slaa ajiuzulu CHADEMA, Akasirishwa Lowassa kupokelewa bila masharti!

  Kaka asante, naendelea na kazi. Maana nimesikia hii habari online Clouds wakati niko kwenye train nikata kushuka nirudi nyumbani nikalale. Asante kwa taarifa. Mwaka huu, watagawana mbao
 2. Shukurani

  Nimemsaliti mchumba wangu, nimueleze au nitunze siri hii?

  Miss chagga haya majibu ya haraka haraka huwa unayotoa wapi, may made my night, nimecheka mpaka jirani yangu anashangaa
 3. Shukurani

  Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

  Ripoti ya time ya mwakyembe kuhusiana Na mchakato wa kampuni ya Richmond ndiyo ilipelekea Mzee lowasa kupewa aka ya fisadi. Kuna madai kwamba Kuna vitu havikusomwa siku Ile Dodoma hili kuficha aibu kwa serikali. Lakini pia,ripoti ilionyesha uhusika wa Mzee lowasa kwenye hili suala...
 4. Shukurani

  Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dr. Msabaha Wajiuzulu

  Kupata majibu sahihi ya Hilo suala. Aliye Na ripoti ya tume ya mwakyembe atuwekee hapa,hili tusome yale ambayo hayakusomwa siku Ile dodoma. Hii itasaidia kila moja kujiridhisha Na ukweli wa mambo ulivyokuwa.
 5. Shukurani

  Pamoja na ujio wa Lowassa CHADEMA, Dr. Slaa ni chaguo sahihi kugombea Urais

  I confer you my Ph.D, nimekuwa nikifikiri hivi toka tetesi za Mzee Ngoyai kuhamia CDM/UKAWA. Hili kuweka hesabu vizuri Na kuwapa chenga ya mwili CCM,kwa kuwaaminisha kwamba mzee leigwanani ndiyo mgombea. Unawapiga goli la tobo,Mzee ngoyai anapanga mashambulizi Na kurusha makombora hatari ambayo...
 6. Shukurani

  Sentensi 50 Bora zilizosemwa wakati wa Kumkaribisha Lowassa UKAWA

  Kukumaliza zaidi,Mzee Lowasa hatagombea nafasi yeyote bali atawapa support kubwa Ukawa Na mgombea wao
 7. Shukurani

  Mwigulu ahojiwa masaa matatu na TAKUKURU

  Eti Sokoine wa pili,haki ya nani,Mzee Sokoine upumzike kwa amani, jinsi ulivyokuwa ukichukia rushwa. Halafu huyu anajifananisha Na wewe, alaaniwe
 8. Shukurani

  Kutoka Bahari Beach Hotel: Yaliyojiri katika Mapokezi ya Edward Lowassa kujiunga CHADEMA

  Jamani,CDM kipo pamoja Na kasi Ni Ile Ile. Siyo lazima kila kitu kisemwe jamani. Mdee ni sehemu ya kamati kuu Na vikao vyote kaudhuria
 9. Shukurani

  Hotuba ya Mhe. Mbowe ina ubora kuzidi hotuba zote tangu mwaka 1995!

  Mbatia is exceptional,aba uchungu saana. Mbowe was excellent
 10. Shukurani

  Biochemist J.Watson na Bw.Lowassa!

  Bahati mbaya saana nimekulia kitaaluma katika maabara aliyofanyia kazi Watson, Pale Cambridge university Na kuudhuria saana kwenye baa ambayo walikaa Na mwenzie baada ya kukugundia winding structure of DNA. Achana Na hayo. Nauli hii ilimfanya Watson afukuzwe kazi huko marekani. Mawazo haya...
 11. Shukurani

  Lowassa njoo Kusini na UKAWA tulipize kisasi cha dhulma za CCM

  THE BIG SHOW Mkuu the big show,umoengea kwa hisia kali saana,mpaka machozi yamenitoka. Nimeamua kuchukua emergency leave kutoka shule UK,kuja kujiandisha BVR Na October,nitarudi kwa kazi moja Tu to vote for UKAWa,kwisha. Wakati wa kuanguka mana Na kwale toka mbinguni Ni sasa,Na hautajirudia...
 12. Shukurani

  Kuangushwa CCM Mwanza, WENJE kuwashukuru wana Mwanza kwa Ibada maalum

  Division five at work. Ukiwa hujui hesabu ni shida saaana mkuu. Viti 99 versus 70, is not statistically significant, the difference is not statistically significant (P-value is >0.05 or >5%). Ndiyo maana wanaCDM wanaandaa ibada. Wakati mwingine kukaa kimya ni vizuri.
 13. Shukurani

  Kuangushwa CCM Mwanza, WENJE kuwashukuru wana Mwanza kwa Ibada maalum

  Hizi shule za kata ni shida saana ila nashukuru hizi ndizo zinaongeza wanachama na wapenzi wa UKAWA. Ukiwa hujui hesabu uwe unaakaa kimya. Viti 99 versus 70, the difference is not statistically significant, meaning P-value is not less than 5% (0.05). Pole mkuu kama utashindwa kuelewa, I am...
 14. Shukurani

  Polisi na fuvu la kichwa cha binandamu: Je, siyo fuvu hili hili lilitumika pia katika tukio la 2009

  POLISI NA FUVU LA KICHWA CHA BINANDAMU: JE, SIYO FUVU HILI HILI LILITUMIKA PIA KATIKA TUKIO HILI LA 2009 Katikati ya wiki hii ambayo wizara la mambo ya ndani iliwakilisha bajeti yake na jeshi la polisi kujikuta katika lawama kubwa saana ya kubabikiza wananchi kesi, japo ndani ya bunge...
Top Bottom