Sisi wananchi Wa kawaida tusio na vyama tunaona Nape alifanya vyema maana bila hivyo tusingeyajua haya, pia nawapongeza clouds hasahasa Ruge kwa kusema ukweli, msipindishe mambo ndugu yetu alichemka kwenda pale studio na askari, ni mchapa kazi mzuri lakini pale alikosea
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.