Recent content by Showmax

  1. S

    JamiiForums Tanzania Watoto wa Lemutuz walikataa kumsamehe baba yao...

    Ana 60 na kitu sema hakui,
  2. S

    JamiiForums Tanzania Watoto wa Lemutuz walikataa kumsamehe baba yao...

    Maisha ya Dunia si lolote si chochote usimdhihaki aliye kwenye chumba cha sindano hali nawe upo kwenye foleni. Wiki tatu tu alifurahia kifo cha yule dada wa geita aliyeuliwa kikatili. Sote njia moja
  3. S

    JamiiForums Tanzania Watoto wa Lemutuz walikataa kumsamehe baba yao...

    Jamaa alikuwa hakui jpo kagong 60
  4. S

    JamiiForums Tanzania Watoto wa Lemutuz walikataa kumsamehe baba yao...

    Maisha ya baba yao pia mbele ya watoto wake hayakuwa ya kimaadili, baba unaposti vipi picha ukiwa club na malaya huku watoto wako wanaona,
  5. S

    JamiiForums Tanzania Watoto wa Lemutuz walikataa kumsamehe baba yao...

    Hao hawana utamaduni.
  6. S

    JamiiForums Tanzania TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Wasubirie revenge toka ngende
  7. S

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Kwani kuna njia ngapi za kuthibitisha uwepo wa jambo mbali na macho kuona
  8. S

    JamiiForums Tanzania TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Uenda musiba alijua hili thus alikuwa na kiburi
  9. S

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Thibitisha kutokuwepo kwa Mungu
  10. S

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Hizo zote ni tabia ni ishu za maroho machafu
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani kwa watu kufunga biashara zao siku ya Jumanne?

    Hao ni washirikina uishi kulingana na siku
  12. S

    JamiiForums Tanzania TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Msiba noma
  13. S

    JamiiForums Tanzania TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Zile hela kwa musiba je
  14. S

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Mtu azaliwi shoga bali ujifanyiza kuwa shoga kwa sababu za kisaikolojia.Thus Hakuna genetic za ushoga
  15. S

    JamiiForums Tanzania Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi

    Pope yupo under control ya Mnyama ni lazima atii maagizo ya mnyama asipotii anauwawa, so ni lazima asapoti kile mnyama. mnyama ni nani ni ile nguvu inayoutawalaa ulimwengu, ndio hio inayo leta matukio mfano wimbo wa ugaidi, corona, sijui ushoga, nk.
Back
Top Bottom