Recent content by show me the way

  1. S

    FBI Wamuonya Mange kuelekea Kwenye Maandamano Washington DC Kwa Madai Anaweza Kudhurika

    we mshamba sana na upo nyuma ya muda sana kama serikali hii ndio ina watu design zenu basi kazi ipo isee!
  2. S

    FBI Wamuonya Mange kuelekea Kwenye Maandamano Washington DC Kwa Madai Anaweza Kudhurika

    we jidanganye tu kwa taarifa yako USA kwa tekinolojia waliyonayo wanaweza kuwalinda wananchi wao kwa kiwango kikubwa sana hivi unadhani hata haya yanayoendelea hapa bongo marekani wakitaka kuwafichua wahuni inashindikana si swala la dakika 0 tu. sema marekani wanakaa kimya kwa maslahi yao...
  3. S

    Watatu waandamana Washington DC

    ata mmoja tu angeandamana ingetosha kufisha ujumbe kwa dunia.
  4. S

    Hivi Tanzania nani akifa atapata heshima ya upendo kama ninayoiona kwa Raila Odinga

    mimi naona hawajampa heshima sanasana wamefanya fujo kwenye mazishi ya mtu muhimu haileti picha nzuri kabisa wakenya wanazidisha misifa isee.
  5. S

    Sasa deni la serikali lifikika Tril. 100 itakuaje

    hata likifika tririon 1000 hakuna atayekuja kugonga mlango wako kukudai!
  6. S

    DOKEZO RPC wa Dodoma msaidie huyu Katibu Mkuu wa Kanisa la Pentekoste, atauawa!

    akome kwanini mchungaji unajiingiza kwenye biashara za ovyo hivyo maana yake na yeye ni tapeli anawaibia waumini wake ila amekutana na matapeli wenzake wamemnyoosha!
  7. S

    Deni la Taifa kufikia trilioni 91, nchi imekaribia kuuzwa?

    ISSUE SIO UKUBWA WA DENI ILA NI APPLICABILITY YA AYO MADENI YANAYOKOPWA TUONGEENI UKWELI MTAANI HALI INAZIDI KUWA NGUMU PESA HAIONEKANI ILA WATU WACHACHE WANAJENGA MAJUMBA YA KIFAHARI NA KUNUNU MAGARI MAPYA YA BEI KUBWA!
  8. S

    Kikwete: Mzee Mwinyi alituita Ikulu tulipoketi tu akatuambia amevunja Baraza la Mawaziri na tulipotoka Nje tukakuta Magari yetu hayapo!

    wenzetu wanachezea kazi wakati sisi wengine tunafunga na kuomba kupata kazi hii dunia hii..! NB: Kwa heshima na nia njema, naomba upitie wasifu wangu na unisaidia ktk hitaji langu la ajira. Mimi ni kijana mchapakazi na mwaminifu, miaka 32, makazi yangu Dar es Salaam. Nina shahada ya utawala, na...
  9. S

    Nyerere day 13-4- na siyo 14-10-? Je, ikumbuke siku ya kufa au kuzaliwa?

    kumbukizi ya kifo uhadhimishwa kwa kukumbuka yale yaliyofanywa na hayati au marehemu siku za uhai wake na sherehe za mahadhimisho ufanywa kwa kukumbuka siku ya kuzaliwa. kifupi inakaa hivi mahadhimisho ya kifo - (hayati/marehemu) siku ya kifo mahadhimisho ya kuzaliwa - sherehe (hayati/...
  10. S

    Makalla atua Katavi na kusema Watasikiliza kero za Wananchi lakini siyo zile zilizopo Mahakamani

    muhimu kazi iendelee. NB: Kwa heshima na nia njema, naomba upitie wasifu wangu na unisaidia ktk hitaji langu la ajira. Mimi ni kijana mchapakazi na mwaminifu, miaka 32, makazi yangu Dar es Salaam. Nina shahada ya utawala, na uzoefu wa miaka 8 katika usimamizi wa miradi, utafiti, data entry, na...
  11. S

    Serikali shirikisheni kampuni binafsi za ukaguzi za "Big Four" kudhibiti ukwepaji kodi

    wasiishie tu kwenye kodi na ukaguzi wa matumizi ya pesa kwenye mashirika ya serikali pia uhusishe external international auditors. NB: Kwa heshima na nia njema, naomba upitie wasifu wangu na unisaidia ktk hitaji langu la ajira. Mimi ni kijana mchapakazi na mwaminifu, miaka 32, makazi yangu Dar...
  12. S

    Marekani yasema kipigo kutokea Iran ni suala la muda tu

    umeongea ukweli kabisa na ndio ipo hivyo siku iran akijichanganya hakuna rangi ataacha kuona. NB: Kwa heshima na nia njema, naomba upitie wasifu wangu na unisaidia ktk hitaji langu la ajira. Mimi ni kijana mchapakazi na mwaminifu, miaka 32, makazi yangu Dar es Salaam. Nina shahada ya utawala...
  13. S

    Paul Makonda kuweka historia kesho ya kupokea ugeni wa Rais Samia, Makamu wake, Waziri Mkuu pamoja na Rais wa Zanzibar

    naombeni kuuliza hivi ni kwanini hayati Moringe Sokoine anaheshimiwa na kuenziwa sana kama rais vile ili hali alikuwa waziri mkuu tu??. kuna vitu gani vya tofauti alivifanya hayati Sokoine naombeni majibu kwa faida ya wengi na vizazi vya kuanzia 90.. NB: Kwa heshima na nia njema, naomba upitie...
Back
Top Bottom