Hawa watu wamezoea kuchakachua, ni aibu kubwa kwa watu wa ngazi nzito kama ile kukosea namna hii. Nafikiri Mungu ameamua kuwaumbua na kuweka makosa yao peupe. Something very serious is hidden behind this!!
Hata matokeo ya kura za Uraisi hesabu zake hazieleweki. Ukijumlisha kura walizopata...
Kwa kuzingatia idadi ya wabunge wa CCM ndani ya bunge letu, ni dhahiri kila mtu alitegemea Mh Ana Makinda angeshinda kirahisi kabisa katika kinyanganyiro cha Uspika. Pamoja na matarajio hayo, lakini inatia shaka kidogo jinsi takwimu zinavyotangazwa.
Matokea jinsi yalivyotangazwa:
Watu waliopiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.